Shonza: Siwezi kujibizana na Diamond

Shonza: Siwezi kujibizana na Diamond

Wafuate BASATA, TCRA ukishindwa kuzipata huko nenda wizarani kabisa wanakojishughulisha na masuala ya sanaa na utamaduni.
Wewe si umesema wamevunja taratibu??
Zitaje hizo taratibu ni zipi? Sisi tumeshaona ngoma za asili na wachezaji wamevaa vibwebwe wakimsaidia Mwalimu Nyerere kupokea wageni wa maana waliokuwa wakitembelea Tanzania Enzi hizo. Wamevaa kufunika mtindi na kiuno tu. Hizo ndiyo ngoma zetu.

Mnachotaka kufanya ni westernization of our culture. Our culture is not a suit wearing culture kwa hiyo msiharibu ngoma zetu na tamaduni zetu kwa visingizio vya dini za watu wasio na asili ya nchi hii.

Fanyeni yote, ila mkishaanza kuharibu Sanaa yetu, basi tumekwisha. Sanaa ndiyo inayochochea maendeleo ya viwanda, kama hamjui hilo basi mna kazi kubwa mbele yenu.

Usipende kurukia maneno.
 
Kutaja tu neno haleluya inaashiria ukristo unakua ,so wala hatuna neno naye,sisi wakristo tunaimani siku moja ataimba gospel .Bwana Yesu asifiwe mkuu!
Hata mimi nimejiuliza sana amekwaza kivipi kwa kutamka haleluya?
 
Diamond angekaa kimya tu, hiyo nyimbo yake ya Haleluya imewasikitisha wakristo wengi sana, ni kwakua tu hawana utaratibu wa kulalama publicly ila umewakwaza watu wengi.
Mimi ni mkristo lkn sijakwazika na lolote lile maana najua ile ni kazi ya sanaa
 
Hatuwezi kukubali wanamuziki waharibu kizazi chetu kwa kutunga miziki isiyo na maadili eti kisa wanamuziki wanatafuta ela ya " pampasi" za watoto wao. Kama unataka biashara ya muziki inoge nchi fuata taratibu zilizopo.
Angekuwa makini hasingetumi mamilioni anayodai kutoa kitu cha hovyo! Hata hivyo walielezwa warekebishe wakagoma...wanalalamika nini sasa.
Hio unayoiita 'hovyo' ndio tunayoikubali..
Wewe kama hupendi fyata mkia wako utulie
 
Ipandishe hapa mkuu
Hii hapa mkuu.........anamwambia kama anajua utaratibu wa barua yeye kwa nini wakati wa kuwafungia nyimbo zao alitumia social media...

Kama alilianzisha kwenye social media walimalizie huku huku
IMG-20180320-WA0041.jpg
 
Huyo naibu waziri kama angeanza na kurekebisha TBC ingependeza. Mbona inapiga nyimbo wanazolaumu hazina maadili (siku za karibuni wimbo wa Bongo bahati mbaya niliuona), hasa hiki kipindi wanachoita (hot zone) kinakuwa usiku.
 
Daah!!!noma sana,huyu jamaa anajiamini.

sio gigi money huyu.. mtu fifa wanakualika world cup au caf si mchezooo... kampuni kama safaricom inakuzindulia album..... shonza anategemea kuteuliwa na viti maalumu.... hata jimbo kugombea kashindwa.. anaanzia wapi kumtisha huyu hustler kutoka tandale mpaka kukaa meza moja na rick ross... diamond ana fans wengi kuliko wapiga kura wa ccm
 
Leo naona ,kuna mwengine naye kishalipuka.Basata walimbatiza jina jipya Abelnago aka Roma mkatoliki,alafu wenyewe wanajiita wafuatiliaji,mfuatiliaji wakati huyo unayemfuatilia jina lake hulijui,je hiyo kazi yake utaijua na hizo changamoto zake.
28753916_1503705896421900_7033096667612053504_n.jpg
 
Back
Top Bottom