Kobello
JF-Expert Member
- Feb 20, 2011
- 8,967
- 8,547
Wewe si umesema wamevunja taratibu??Wafuate BASATA, TCRA ukishindwa kuzipata huko nenda wizarani kabisa wanakojishughulisha na masuala ya sanaa na utamaduni.
Zitaje hizo taratibu ni zipi? Sisi tumeshaona ngoma za asili na wachezaji wamevaa vibwebwe wakimsaidia Mwalimu Nyerere kupokea wageni wa maana waliokuwa wakitembelea Tanzania Enzi hizo. Wamevaa kufunika mtindi na kiuno tu. Hizo ndiyo ngoma zetu.
Mnachotaka kufanya ni westernization of our culture. Our culture is not a suit wearing culture kwa hiyo msiharibu ngoma zetu na tamaduni zetu kwa visingizio vya dini za watu wasio na asili ya nchi hii.
Fanyeni yote, ila mkishaanza kuharibu Sanaa yetu, basi tumekwisha. Sanaa ndiyo inayochochea maendeleo ya viwanda, kama hamjui hilo basi mna kazi kubwa mbele yenu.
Usipende kurukia maneno.