Native diaspora
JF-Expert Member
- Nov 19, 2020
- 265
- 458
Tunataka tuanze kusikia kutoka kwako.Wakuu, habari za muda na wakati huu. Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa jalalani. Nilikua napenda nijui ni short kozi gani ziliwafungulia milango ili na sisi wengine tupate kuokota mawili matatu.
Nipo nasubiri majibu, lakini nafikiria kwenda kusomea AC au electrical. Lakini ngoja kwanza nisikilize maoni ya wadauWakuu, habari za muda na wakati huu. Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa jalalani. Nilikua napenda nijui ni short kozi gani ziliwafungulia milango ili na sisi wengine tupate kuokota mawili matatu.
Driving NITWakuu, habari za muda na wakati huu. Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa jalalani. Nilikua napenda nijui ni short kozi gani ziliwafungulia milango ili na sisi wengine tupate kuokota mawili matatu.
Tunataka tuanze kusikia kutoka kwako.
Shukrani mkuu, psv driving sindioDriving NIT
Shukrani mkuu hii nayo inapatikana veta piaMotor vehicle mechanics.
Shukrani mkuu, Cyber security hata sisi wa KLF tunapiga au hesabu zitakua nyingi pia chuo gani wanatoaCyber security
Shukrani mkuuAdvance Driving 1 month pale NIT
Sure mkuu muhim kuskiliza na ushauri wa wadau unaweza pata kilicho chemaNipo nasubiri majibu, lakini nafikiria kwenda kusomea AC au electrical. Lakini ngoja kwanza nisikilize maoni ya wadau
Ni suala la logic na critical thinking , haihitaji mathe nyingi wala nini,Shukrani mkuu, Cyber security hata sisi wa KLF tunapiga au hesabu zitakua nyingi pia chuo gani wanatoa
Hii Mpaka Awe Dereva Hawezi Kwenda Kuisoma Tu Mfano Hana LeseniAdvance Driving 1 month VIP
ShukraniNi suala la logic na critical thinking , haihitaji mathe nyingi wala nini,
[emoji41]Mimi hapa kipenz....short course yangu nipo kukusoma wewe na bado haijakamilika na ndiyo ninayoamini nitatobolea maisha
Kuwezesha kulipa kodi na billsKubadili maisha kvp??