Nrangoo
JF-Expert Member
- May 22, 2017
- 3,407
- 5,418
SaafiUfundi gypsum na ceiling in general, hii nilijifunza site moja kwa moja nilipoanza kibarua baada ya life kunichapa juu kati na chini, nikaingia site nikakutana na hizi mbishe wana wanapiga nikajiunga sijawahi kujutia na hakuna kurudi nyuma, natamani hata ningemaliza tu 4 ningekuja pande hizi