Short course gani ilibadili maisha yako?

Short course gani ilibadili maisha yako?

Acheni kudanganyana.....shoti kozi ya kubadili maisha.....ni kujifunza namna ya kuchukua hela kutoka mahali zilipoifadhiwa..........hapo maisha yatabadilika!!!
Mambo ya kusoma ni kupoteza mda na kuomba kuajiriwa ili muwe watumwa...!!!
Jifunzeni udukuzi wa pesa...!!
Hujakutana na drivers ehee? Walio piga short corse NIT na wakajipata??

Usiongee sana as if huyajui mambo ya ground.
 
Wakuu, habari za muda na wakati huu.

Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa jalalani.

Nilikua napenda nijui ni short kozi gani ziliwafungulia milango ili na sisi wengine tupate kuokota mawili matatu.
Forex Trading
 
Acheni kudanganyana.....shoti kozi ya kubadili maisha.....ni kujifunza namna ya kuchukua hela kutoka mahali zilipoifadhiwa..........hapo maisha yatabadilika!!!
Mambo ya kusoma ni kupoteza mda na kuomba kuajiriwa ili muwe watumwa...!!!
Jifunzeni udukuzi wa pesa...!!
Tukopeshe mitaji mkuu
 
Back
Top Bottom