Ndio mashiko yapo maana tafiti yoyote ile inahitaji uchambuzi na uchakataji wa taharifa ambao ni bora lkn unavyo soma short course kama hii jitaidi kuwa na connection na watu wanao fanya tafiti kama vile NGOs, Student
Mimi niliwai kusomea short course ya data analysis kwa kutumia Genstat wakati nipo chuo mwaka watatu kusema kweli nilipata pesa ya kutosha kupitia wanafunzi wenzangu pia iliniwezesha kunipatia ajira yangu ya kwanza
Mwisho kabisa lkn sio lazima ukiwa data analytics inabidi uwe na uwezo wa kuandika finds mbali mbali hii itakusaidia sana kupata kazi