Short course gani ilibadili maisha yako?

Native diaspora

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2020
Posts
265
Reaction score
458
Wakuu, habari za muda na wakati huu.

Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa jalalani.

Nilikua napenda nijui ni short kozi gani ziliwafungulia milango ili na sisi wengine tupate kuokota mawili matatu.
 
Wakuu, habari za muda na wakati huu. Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa jalalani. Nilikua napenda nijui ni short kozi gani ziliwafungulia milango ili na sisi wengine tupate kuokota mawili matatu.
Tunataka tuanze kusikia kutoka kwako.
 
Wakuu, habari za muda na wakati huu. Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa jalalani. Nilikua napenda nijui ni short kozi gani ziliwafungulia milango ili na sisi wengine tupate kuokota mawili matatu.
Nipo nasubiri majibu, lakini nafikiria kwenda kusomea AC au electrical. Lakini ngoja kwanza nisikilize maoni ya wadau
 
Wakuu, habari za muda na wakati huu. Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa jalalani. Nilikua napenda nijui ni short kozi gani ziliwafungulia milango ili na sisi wengine tupate kuokota mawili matatu.
Driving NIT
 
Back
Top Bottom