Short course gani ilibadili maisha yako?

ASNT NDT Certificate level I na level II
 
Nilipata nafasi ya kupigwa msasa na Wahindi kwenye Cyber Security! Wakanichaji 560K! Aisee mpaka leo sijutii kusoma hii kitu! Ni moja ya kitu kimebadilisha maisha yangu kwa muda mfupi sana!
Wanapatikana wapi?
 
Kama taaluma inakulipa usiwaponde hustlers na kama hustles zinakulipa usiwaponde wenye taaluma, wote lengo lenu ni kufanikiwa
 
Kuna kitu nipo kwenye mchakato wa kukianza ingawa kwa Tanzania bado sana!
Ni kuhusu Scambaiter hawa wahuni wanaotusumbua wa kutuma kwenye namba hii nataka nianze kuwashughulikia bara-bara.
Nakazia man[emoji3]
 
mortuary attendant ilibadili maisha ya jamaa yangu mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…