Anaweza kuwa anatoka katika nchi ya aina hiyo. Je anamafanikio gani huko nyuma kabla ya kuifundisha Stars. Maximo amefanya kazi kwa muda wa kutosha sasa tena huku akipewa misaada lukuki kuliko makocha woote huenda kwenye historia ya nchi yetu. Lakini output hakuna. Ni vyema akakaa pembeni.The B,
Hisani ya kuja kufundisha soka katika nchi yenye kiwango kibovu cha soka kwa malipo karibu na bure kwa kocha anaetoka taifa lenye hadhi na heshima kubwa ya soka