Show off ya magari makali: Wengi hawakumuelewa Lugumi

Ili baadae ukileta kelele alete picha wakati wanaangalia movie alone, kweye viambata vya makasri yao makubwa, kama PDD. Kuna ujinga wa madogo wengi kuwa hela ili uzipate ruksa kufanya chochote, hata kuuza utu na thamani yako.
Ndio maana wengine ni mabingwa wa kuliwa kiboga. Uchawa kitu kibaya sana.
 
Naskia petrol ⛽ station zote mbili aliwajazia boda to boda wa DSM mafuta, huo mziki utauweza mkuu ☺️☺️

Mziki gani? Standard ya kuwa tajiri ni kujaza bodaboda kwenye vituo vya mafuta? Kila siku au itakuwa kwa muda gani?
Huko ni kutafuta attention tu. Na wengi wanaofanya hivyo hawana kitu ila ili wapate uhalali kwamba wana pesa wanafanya matukio kama hayo. Yeye sio wa kwanza. Siku za karibuni kuna mtu anaitwa Mr. Mapig. Mwingine sijui nani yule...angalia kwa undani utagundua kuna ombwe.
Hela hazihitaji kelele. Zinajieleza. halafu, wenye hela huwa hawana mbwembwe. Ni wa kawaida sana na hawataki attention za kijinga kijinga
 
Sawa mkuu, karibu tunywe chai ya Tangawizi na kashata mbili tatu.
 
Lugumi na Chief Godlove na wengine wote wenye show off ni washamba tu

Hakuna bilionea mwenye mambo za kisenge kama
hizo

Huwezi kukuta mtu kama Dangote au Mo akawa na upumbavu kama wa akina Lugumi na Godlove
Acha makasiriko kenge wee!! Tafuta hela uone kama utakaa tu chumbani umejifungia mswahili wewe,sisi sio wahindi na waarabu uliowataja hapo juu. Mswahili una hela alafu ujifiche unamwogopa nani? FAMASIHARA NINI?
 
Mshana huwa unaona jambo kwa mtazomo mwingine ambao ni uhalisia, bravo brother.
 
Acha makasiriko kenge wee!! Tafuta hela uone kama utakaa tu chumbani umejifungia mswahili wewe,sisi sio wahindi na waarabu uliowataja hapo juu. Mswahili una hela alafu ujifiche unamwogopa nani? FAMASIHARA NINI?
Ushamba tu ndio unawasumbua kuna Wabongo wana vibunda zaidi yao na hawana hizo ma
 
Naomba nikurekebishe kidogo, hilo Land Cruiser aliloita uchafu thamani yake ni around $146,000 kwa sasa. Hii hela ni equivalent na TZS 400 millions za madafu kabla ya kodi. Hii pesa inanunua msafara wa gari zote za chief Godlove na chenchi inabakia.

Pesa alizopewa ni TZS 10 Million ili akatumie tu kwa usiku mmoja akanunue Hennesy aache kunawia coca cola.

Kwangu mimi pia nimeona ni funzo alilopewa CGL kwamba yeye ni kama maji ya kisoda kwenye bahari hivyo akapambane ajitafute zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…