Show off ya magari makali: Wengi hawakumuelewa Lugumi

Ila mtu binafsi unapigwa kama o utaagiza pamoja na kodi🤣.

Kwa valuation ya $75000 ukiileta kwa madafu ni sawa na 217 million za kibongo. Add with tax ni 217+132 =349 in milions za madafu.
 
Sasa mwananzengo, hii kitu mbona hakijakaa vizuri.

Hao jamaa wanakula milo mingapi kwa siku!
Wamewasaidia masikini wangapi kwa biashara zao!
Wamewaondoa vijana wangapi katika umasikini!
Na pengine la muhimu zaidi ni kujiuliza huo utajiri wake Lugumi au Godlove unanisaidia nini haswa mimi kama mtafutaji!

Ukisha jijibu hayo maswali utaona kuwa huo utajiri ni only relative na hauna maana kwao wala kwa watanzania , kama hauwasaidiii!
 
Ila mtu binafsi unapigwa kama o utaagiza pamoja na kodi🤣.
View attachment 3138308
Kwa valuation ya $75000 ukiileta kwa madafu ni sawa na 217 million za kibongo. Add with tax ni 217+132 =349 in milions za madafu.
Hahahaaa midude hiyo aliyoita Uchafu ni dongo wa mawaziri na top officials wanaoringa na hiyo MIPUTO ,yeah price yake LC 300 imesimama sana 350m+ ,kwa Chief Godlove mpaka anazeeka hawezi kununua.
 
Hahahaaa midude hiyo aliyoita Uchafu ni dongo wa mawaziri na top officials wanaoringa na hiyo MIPUTO ,yeah price yake LC 300 imesimama sana 350m+ ,kwa Chief Godlove mpaka anazeeka hawezi kununua.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Chief uwezo wake ni 30-50M used cars. Gari ambayo katoa hela ndefu labda ni ile Range Rover
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Chief uwezo wake ni 30-50M used cars. Gari ambayo katoa hela ndefu labda ni ile Range Rover

😀 😀 😀 Kabisa ,30-50 ndiyo level zake ,level za Lugumi hawezi kuzifikia hata akipewa miaka 100 ya kuhustle.
 
😀 😀 😀 Kabisa ,30-50 ndiyo level zake ,level za Lugumi hawezi kuzifikia hata akipewa miaka 100 ya kuhustle.
Ogopa mtu analipia 800 millions for a single whip 😂! It takes guts halafu zote ni 2024. Na namba za usajili zinafatana ni series "EH" ikiashiria alizinunua zote wakati mmoja😆
 
Ogopa mtu analipia 800 millions for a single whip 😂! It takes guts halafu zote ni 2024. Na namba za usajili zinafatana ni series "EH" ikiashiria alizinunua zote wakati mmoja😆
Hatari Lugumi nakumbuka alikuwa na ndinga nyingi sana enzi za Jakaya ,msafara wake ulikuwa unatembea na Land cruiser V8 Nyeusi mbili ,na Benz Convertible Nyeupe ina maana amezidump zote zile akavuta nyingine kwa pamoja.
 
Ni Lugumi huyuhuyu wa Dr Shika au kuna mwingine? Akaye akijuwa jinai huwa haifi tena especial jinai yenyewe kawapiga Polisi pesa yao na kumgharimu Charles Kitwanga Uwaziri wake.

Hivi Wabongo kumantain low profile ni kipengere?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…