Show off ya magari makali: Wengi hawakumuelewa Lugumi

Nilitaka nisikujibu lakini nikaona utajisikia vibaya.. Lakini jaribu kulinganisha maundui ya mada yangu na yako
By the way mimi nikikuhonga manukato wewe kama mwanaume utajisikiaje?
Je unajua ya kwamba pesa haitaki kelele?
Nilitaka nisikujibu lakini nikaona utajiskia vibaya. Lakini jaribu kulinganisha maudhui ya mada yangu na yako

Infact: Mimi nikkikupaka mafuta wewe kama mwanaume utajiskiaje?
Je unajua kwamba pesa ina kununua?
 
Leo ndio nimekutana na hii ile juzi baada ya kupostiwa ile video na ku view watu wengi niliwaambia hapa baadhi ya watu maneno kama haya uliyoandika mkuu jinsi tu Lugumi alivyokuwa anamuita jina na kucheka pia kumwambia twende huku ukaone magari kwa mtu mwenye akili timamu na kama unajua uswahili lazima ujue kuwa leo hapa nadhihakiwa yote kwa yote pongezi kwa Lugumi kumuonyesha kuwa kuna watu tupo kitambo na tupo kimya
 
Kurecord tu hizo video tayari ni showoff, wote ni walewale tu.
 
Kurecord tu hizo video tayari ni showoff, wote ni walewale tu.
Nani asiye mjua Lugumi labda wewe na vijana wadogo waliona video yake jana yule jamaa zile gari mara yake ya kwanza kuzi post juzi na sio kama hana social media akaunt wala hana ma star ambao ana socialize nao je Kati ya Lugumi na Sir wicknell nani ana showoff yule yote kwa yote sio vyema kuongelea watu wala hakuna haja yakubishana nimejibu tu tena ni kwa bahati mbaya
 
Sijafunguwa hiyo video clip wala sina bundle la mchezo, ninavyomjuwa mimi Lugumi ni mwizi tu kama wezi wengine ambaye yupo kwenye mfumo.
 
Joto ni kali sana kama vile jua limeshuka 10km. Ila kwa upande mwingine kuna watu wao na magari yao joto wanalisikia tu maanake hata magari yanalala vyumba vyenye AC na glass windows/doors!
.. Yani non - living things wanakula kiyoyozi alafu human being anagongwa na jua la utosini vya kutosha daily 😁😁😁😁
 
Swali langu ni; huyo dogo alifikaje kwa Luhumi? Kaalikwa, kajialika au nini?
 
Lugumi na Chief Godlove na wengine wote wenye show off ni washamba tu

Hakuna bilionea mwenye mambo za kisenge kama
hizo

Huwezi kukuta mtu kama Dangote au Mo akawa na upumbavu kama wa akina Lugumi na Godlove
Trump na Elon Musk ni wawakilishi wao Marekani
 
Upo sahih japo utofauti wa hulka zetu unapingana na usemacho.

Kuna watu akiwa na laki tu mfukoni ni mwendo wa show off mpaka basi, bt wengine hata awe na mzigo wa kutosha wala hana hata habari.
Huyo Cheaf Godlove sipendi kashfa zake anavyowakashifu wasio na hela. Utafikiri anamiliki dunia. Na akina Elon Musk wasemeje ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…