Show ya Alikiba South Africa, iwe funzo kwa wasanii wa Bongo fleva

Mnashindwa kuelewa tu kiba kinachomsaidia ni bifu tu na mondi
Namshauri asitowi nyimbo kwajili ya kupambana na mwenzie atafeli
 
shida ya huyo dogo kiba anajifanya anaweza sana na kumdharau mwenzie akidai yeye anatusua et bila collabo ya nje....sijui nani anamjaza huu ujinga masikin.....angekua mond hyo show hata kama wangekua wachache lakini sio kama hao wanaohesabika.....
 
Acha, kupotosha ww mondi kaenda Malawi kajaza fukwe
Kaenda visiwa vile kajaza kaenda Zambia kajaza ww unakuja na ngojera zako hapa

[emoji23][emoji23][emoji23] hizi zako ndio ngonjera sasa,weka One Man Show hapa ubaoni tuone alafu hata aibu hatuoni wa Tz msanii ambae anatubeba Tz Diamond tunavimba alafu unataja show 3 tu tena hauna uhakika unadhani wenzetu wakiamua kuzipanga za akina Davido,StarBoi etc wanapata shida ivi.
Tuna wasanii wenye vipaji ila sisi wenyewe washabiki ndio tunawakandamiza kwa unafiki narudia tena wasanii wetu bado hawana ubavu wa kusimama wenyewe kwenye kufanya show kama show wakitoka nje EA mostly wanafanana tofaouti ni ndogo na wachawi ni sisi wenyewe ndio maana tamasha kama Fiesta tunamleta mediocre artist kama Tekno ni upuuzi.
 
Mbona unaleta mambo ya davido nikuambie tu diamond ni mkubwa kwa sasa kuliko huyo davido tecno n.k niambie davido kwasasa anamshinda nn mondi
 

Alipiga kwenye jukwaa au vibaa vyake kama vile vya Dodoma?
Huyu bwana inampasa kurudi chini na kuwa mdogo tu na aanze upya, anakokwenda hata wakina Mavoko, Rayvan watampita, na hizo tour zake alizozopanga bora azifute na aanze kujipanga upya
 
Watu wanambeza Ali Kiba hi hali wao hawajawahi kuhamasisha watu zaidi 100 kuwasikiliza!. Huo ni upumbavu jibeze kwanza wewe ndio afuate Ali King Kiba!
 
Wale walikuja kucheki mpira changanya na waliyokuja bar kiba akaona hapa najichanganya na mm nipige show hiv kuna msanii anapiga show na mpira upo live wale ni mashabiki wa mpira
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mpira unavuta RAIA sema kuchanganya Mpira na show ya music in kukosa userious kwenye kazi
 
Mbona unaleta mambo ya davido nikuambie tu diamond ni mkubwa kwa sasa kuliko huyo davido tecno n.k niambie davido kwasasa anamshinda nn mondi

[emoji23][emoji23][emoji23] hapo ndipo tunapoenda chaka kujiaminisha kua tumewazidi wakati tunategemea watushike mkono ili kufikia malengo,beats ni asili ya kwao,collabo tunategemea kwao,video directors tunawatumia wa kwao lakini tunavimba duh bado safari ni ndefu sana labda hautaki kunielewa nimesema kua tuna wasanii wazuri ila tatizo ni sisi mashabiki ebu jiulize tamasha kama la Fiesta kulikua na sababu gani kumleta na kumlipa Tekno mpunga mrefu kama msanii maalumu toka nje wakati tuna vipaji ambavyo uyo Tekno hawezi hata kuvigusa.
 
kajamaa uswahili mwingi mno.bila kolabo nani atakujua??kuitwa king bila chochote ni upuuzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…