NgugiAchebe
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,024
- 688
Mnashindwa kuelewa tu kiba kinachomsaidia ni bifu tu na mondi
Namshauri asitowi nyimbo kwajili ya kupambana na mwenzie atafeli
Namshauri asitowi nyimbo kwajili ya kupambana na mwenzie atafeli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo mkuu wale ni wachache au ulitaka ukumbi upasuke ndo uone kuwa ni watu wengi kweliVideo imeshawekwa watu wengi wapi kama ni wengi basi maana ya wingi itakuwa kinyume
Acha, kupotosha ww mondi kaenda Malawi kajaza fukwe
Kaenda visiwa vile kajaza kaenda Zambia kajaza ww unakuja na ngojera zako hapa
Wale walikuja kucheki mpira changanya na waliyokuja bar kiba akaona hapa najichanganya na mm nipige show hiv kuna msanii anapiga show na mpira upo live wale ni mashabiki wa mpiraKwahiyo mkuu wale ni wachache au ulitaka ukumbi upasuke ndo uone kuwa ni watu wengi kweli
Mbona unaleta mambo ya davido nikuambie tu diamond ni mkubwa kwa sasa kuliko huyo davido tecno n.k niambie davido kwasasa anamshinda nn mondi[emoji23][emoji23][emoji23] hizi zako ndio ngonjera sasa,weka One Man Show hapa ubaoni tuone alafu hata aibu hatuoni wa Tz msanii ambae anatubeba Tz Diamond tunavimba alafu unataja show 3 tu tena hauna uhakika unadhani wenzetu wakiamua kuzipanga za akina Davido,StarBoi etc wanapata shida ivi.
Tuna wasanii wenye vipaji ila sisi wenyewe washabiki ndio tunawakandamiza kwa unafiki narudia tena wasanii wetu bado hawana ubavu wa kusimama wenyewe kwenye kufanya show kama show wakitoka nje EA mostly wanafanana tofaouti ni ndogo na wachawi ni sisi wenyewe ndio maana tamasha kama Fiesta tunamleta mediocre artist kama Tekno ni upuuzi.
Jana nyota wa Tanzania na Mshindi wa MTV EMA african act 2016 Alikiba alianza world Tour yake kwa showJijini Durban South Africa.
Kiwango cha idadi ya watu waliojitokeza na ukumbi aliofanyia show inathibitisha kabisa mziki wa bongo flava bado unasafari ndefu kutoboa kimataifa hasa nje ya east africa
Collabo no njia mojawapo ya kutoa kwenye ngumu kama south africa na Nigeria japo Luna baadhi ya mashabiki wanazibeza.
Sasa kama Alikiba na ukubwa wake huo amepata idadi hiyo ya watu , billnass, baraka da price au timbulo atapata watu wangapi?
Wakati chipukizi wa Nigeria Tekno akija bongo ndo main Artist.
Jionee picha za jana jijini Durban
View attachment 471918
View attachment 471919
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Mpira unavuta RAIA sema kuchanganya Mpira na show ya music in kukosa userious kwenye kaziWale walikuja kucheki mpira changanya na waliyokuja bar kiba akaona hapa najichanganya na mm nipige show hiv kuna msanii anapiga show na mpira upo live wale ni mashabiki wa mpira
Kwanini ukumbi uwe mdogo? Na huo ni ukumbi au Korido mbona naona Exit>Kwa ukumbuki mdogo kama huo ulitaka watu wajazane vipi?
Mbona unaleta mambo ya davido nikuambie tu diamond ni mkubwa kwa sasa kuliko huyo davido tecno n.k niambie davido kwasasa anamshinda nn mondi
kwahiyo kiba alikua anaperform kabla show haijaanza sasa alikua anaperform nini???mleta mada umepiga picha wakati show haijaanza lete picha za show wakati inaendelea
porojo uwezo mdogo!!mkuu hizi ni kweli walihudhuria watu 150 tuu japo walipiga promo kubwa sana.. nijuze ikiwezekana weka picha zaidi