Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 2,818
- 7,940
Hivi Karibuni Rapper kutoka Marekani Card B ameonekana akipiga show jijini Riyadh katika nchi ya Saudi Arabia ambapo ndipo chimbuko la Uislamu. Watu wamehoji kuwa misingi ya Uislamu katika nchi yenye chimbuko la Uislamu imeenda wapi, wengine wakisema Waislamu wanapambana kupeleka Uislamu Marekani na ulaya, na Wamarekani wanapambana kupeleka uzungu huko Uarabuni. Mwingine akadai show kama hizi uwezi kuzikuta Vatican.