Show ya CARD B huko Saudi Arabia lilipo chimbuko la Uislamu yazua Gumzo

Waislamu wanapambana kupeleka Uislamu Marekani na ulaya, na Wamarekani wanapambana kupeleka uzungu huko Uarabuni.
Duh,
Humo wanaonekana mabinti wengi lakini hakuna hijab wala burka. Huko ni Kupatwa kwa kobaz
 
Umagharibi kwa nchi za karabu na hata hapo Saud Arabia upo sana tu kwa mtu ambaye amewahi kufika sio jambo la ajabu
Vijana wengi wamesomeshwa na wazazi wao nchi za UK na US na ndio wanongoza taasisi na mabadiliko hayo
Maeneo kama Riyadh na Jedddah unaweza kufikiri upo Ulaya kwa aina ya watu unaokutana nao na lugha inayotumika zaidi ni English licha ya dress code za waarabu na kihafidhina na aina ya shughuli za uchumi na biashara isipokuwa pombe
Miji ya Khobbah au Dhahram ndio umejaa wazungu hasa wanajeshi wa US na wafanyakazi wa makao makuu ya ARAMCO, kampuni kubwa ya mafuta duniani na pia kwenye mji mpya wa NEOM
Ila Makkah na Madina hakuna wageni zaidi ya wanaokwenda kwenye ibada au wafanyakazi wa msikiti na hotel ambao wengi wanafuata dini hasa
Ndo maana wageni wengi wanapenda kuishi huko kama ilivyo kwa UAE , Emirate ya Dubai na kidogo Abu Dahbi kama capital peke ya ndiyo yenye tabia za kimagharibi lakini maeneo kama Sharjah, Ajman na zile nyingine 3 bado wanaishi kwa desturi za kiarabu na kufuata msingi ya dini
 
Hivi Karibuni Rapper kutoka Marekani Card B ameonekana akipiga show jijini Riyadh katika nchi ya Saudi Arabia ambapo ndipo chimbuko la Uislamu. Watu wamehoji kuwa misingi ya Uislamu katika nchi yenye chimbuko la Uislamu imeenda wapi, wengine wakisema Waislamu wanapambana kupeleka Uislamu Marekani na ulaya, na Wamarekani wanapambana kupeleka uzungu huko Uarabuni. Mwingine akadai show kama hizi uwezi kuzikuta Vatican.
View attachment 3515873
Kwani unafikiri hawapemdi hayo mambo? Wanayapenda na wanayamiss ni unafiki tu.
Saudia wamegundua wamechelewa kufuata njia ya Dubai sasa hivi wanapambana kwa kasi ndio maana event nyingi za kidunia wanatoa mpunga mrefu zi Vandalia kwao. Boxing,UFC,NBA na hizo concert zinalipa Saudia kuliko sehwmu yoyote
 
Hivi Karibuni Rapper kutoka Marekani Card B ameonekana akipiga show jijini Riyadh katika nchi ya Saudi Arabia ambapo ndipo chimbuko la Uislamu. Watu wamehoji kuwa misingi ya Uislamu katika nchi yenye chimbuko la Uislamu imeenda wapi, wengine wakisema Waislamu wanapambana kupeleka Uislamu Marekani na ulaya, na Wamarekani wanapambana kupeleka uzungu huko Uarabuni. Mwingine akadai show kama hizi uwezi kuzikuta Vatican.
View attachment 3515873
Wanasemaga "Do not talk about morality if you cannot fund your desires and fantasies"
 
Umagharibi kwa nchi za karabu na hata hapo Saud Arabia upo sana tu kwa mtu ambaye amewahi kufika sio jambo la ajabu
Vijana wengi wamesomeshwa na wazazi wao nchi za UK na US na ndio wanongoza taasisi na mabadiliko hayo
Maeneo kama Riyadh na Jedddah unaweza kufikiri upo Ulaya kwa aina ya watu unaokutana nao na lugha inayotumika zaidi ni English licha ya dress code za waarabu na kihafidhina na aina ya shughuli za uchumi na biashara isipokuwa pombe
Miji ya Khobbah au Dhahram ndio umejaa wazungu hasa wanajeshi wa US na wafanyakazi wa makao makuu ya ARAMCO, kampuni kubwa ya mafuta duniani na pia kwenye mji mpya wa NEOM
Ila Makkah na Madina hakuna wageni zaidi ya wanaokwenda kwenye ibada au wafanyakazi wa msikiti na hotel ambao wengi wanafuata dini hasa
Ndo maana wageni wengi wanapenda kuishi huko kama ilivyo kwa UAE , Emirate ya Dubai na kidogo Abu Dahbi kama capital peke ya ndiyo yenye tabia za kimagharibi lakini maeneo kama Sharjah, Ajman na zile nyingine 3 bado wanaishi kwa desturi za kiarabu na kufuata msingi ya dini
Kwanini nyie wamatumbi hamtaki Saudi Arabia iishi kulingana na dunia ya leo ilivyo? Kwanini bado mnataka watu wa Saudi Arabia waishi kama miaka elf tatu iliyopita?
 
Show iliyonifurahisha Saudi ilikuwa ni ile ya nick minaji
 
Hivi Karibuni Rapper kutoka Marekani Card B ameonekana akipiga show jijini Riyadh katika nchi ya Saudi Arabia ambapo ndipo chimbuko la Uislamu. Watu wamehoji kuwa misingi ya Uislamu katika nchi yenye chimbuko la Uislamu imeenda wapi, wengine wakisema Waislamu wanapambana kupeleka Uislamu Marekani na ulaya, na Wamarekani wanapambana kupeleka uzungu huko Uarabuni. Mwingine akadai show kama hizi uwezi kuzikuta Vatican.
View attachment 3515873
cc kahtaan , sheikh ubwabwa
 
Unaambiwa nchi zinazoongoza kuangalia Porn ni

Egpty na Saudi Arabia
 
Riyadh wanajirusha sana. Kuna nyingine ya Tyler.

Wataelewa tu.
 
Unaambiwa nchi zinazoongoza kuangalia Porn ni

Egpty na Saudi Arabia
Unaambiwa,!! source, ‘ trust me bro’
Hivi unajua hii sheria ya VPN huko nje ni hatari sana?
Hapo UAE tu, Dubai kupiga simu whatsap nje ya nchi mpaka utumie VPN tena kwa kujificha ?
Jamaa wanafuatilia VPN na wanakula kichwa
Saud Arabia vile vile, kama ilivyo TZ huwezi ku access porn sites bila VPN
Nchi inayoongoza kwa kuangalia porn ni US, UK, India, Japan, France na Germany, Brazil, Canada zinafuata
Kwa nchi za kiarabu ni Egypt, Iraq na Lebanon
 
VPN haifichi ulipo it just mask it.

Wanapima hizo takwimu wanatumia porn site zinazotoza pesa kama onlyfans na subscriptions nyingine
 
Saudi Arabia inazidi kupendeza
 
Ila ilishapigwa show ya LGBTQ+ huko huko shahidi alikua Papa..
Ulikuwepo huko na wewe mkuu?

Maana siyo mchezo hapa najiuliza wewe ndiye ulimpeleka mtu au bwana’ako alikupeleka?
 
Back
Top Bottom