Show ya CARD B huko Saudi Arabia lilipo chimbuko la Uislamu yazua Gumzo

Show ya CARD B huko Saudi Arabia lilipo chimbuko la Uislamu yazua Gumzo

Achausengeutafirwa.. acha kuvaa vitenge utakujaufirwe
Utafirwawewepunga..
Punguzashoboutafirwapungawewe..
Vatican sio chimbuko la Wakristo... Vatican ni makao makuu ya Wakatoliki
 
Utaniambia Chimbuko ni Mabuddha... ndio unapoelekea
Husinipe kazi kukuelezea, jifunze kusoma na kutafuta madini

Ukristo ulianzia Mashariki ya Kati, hasa Palestina ya kale (leo Israeli na maeneo ya Palestina), karne ya 1 BK ndani ya Dola ya Kirumi kipindi kile ilipokuwa ikitawala maeneo mengi ya ulaya kuja mpaka uarabuni, huku ukristo ukijengwa juu ya maisha, mafundisho, kifo na kile Wakristo wanaamini kuwa ni ufufuo wa Yesu Kristo, aliyezaliwa Bethlehemu, kukulia Nazareti, kuhubiri Galilaya na Yudea, na kusulubiwa Yerusalemu; kihistoria Ukristo ulitoka ndani ya Uyahudi kwa kuwa Yesu na mitume wake walikuwa Wayahudi na Maandiko ya awali (Agano la Kale) yaliheshimiwa tayari, hivyo haukuanza mara moja kama dini mpya bali kama harakati ya kidini iliyojitenga baadaye; baada ya kifo cha Yesu, Yesu alisulubiwa na serikali ya Kirumi kupitia Pontio Pilato, wakati wa utawala wa Kaisari Tiberio, mitume hasa Paulo wa Tarso—waliueneza Ukristo Asia Ndogo, Ugiriki na Roma, ukakua licha ya mateso kwa maana miaka hile Ukristo ulipigwa vita sana na watu kuuwawa kwa sababu walikuwa wakristo, kisha baadae ukahalalishwa kisheria mwaka 313 BK kupitia Amri ya Milano chini ya Mfalme wa kirumi Constantine baada ya kushinda vita kwa kuwabandikia alama ya msalaba wanajeshi wake na badae baada ya kushinda vita ufalme huo ukafanya Ukristo kuwa dini rasmi ya Dola ya Kirumi mwaka 380 BK na ndipo dhehebu la Roman Catholic lilipoanzia, Dola za kirumi ziligawamyika kuwa Mbili kutokana na utofauti wa itikadi za kisiasa na kiuongozi ambapo tawala moja ikachukua eneo la Magharibi ya Ulaya na kufanya Roma hasa eneo la Vatican kuwa la makao makuu na kujiita Roman Catholic, huku Rumi nyingine iliyojiita Eastern Orthodox ikichukua maeneo ya Ulaya ya Mashariki na kufanya Makao makuu ya kihistoria Konstantinopoli (Istanbul), ingawa makanisa ya kitaifa (k.m. Russia, Greece, Serbia) yana uhuru wa kiutawala (autocephalous), jambo linalothibitisha kuwa Ukristo ulianzia Palestina, si Ulaya wala Afrika, ambazo ziliupokea baadaye kupitia uenezi wa kimisionari na kisiasa.
 
Bora hivyo kuliko kuendekeza Skukuu za Haloween za kujikatakata, kulowa damu chapa na kuvaa mitambala mibovu
 
Back
Top Bottom