Busu la Kenge adrizHivi Karibuni Rapper kutoka Marekani Card B ameonekana akipiga show jijini Riyadh katika nchi ya Saudi Arabia ambapo ndipo chimbuko la Uislamu. Watu wamehoji kuwa misingi ya Uislamu katika nchi yenye chimbuko la Uislamu imeenda wapi, wengine wakisema Waislamu wanapambana kupeleka Uislamu Marekani na ulaya, na Wamarekani wanapambana kupeleka uzungu huko Uarabuni. Mwingine akadai show kama hizi uwezi kuzikuta Vatican.
View attachment 3515873
Masikini kipofu kaona mweziHivi Karibuni Rapper kutoka Marekani Card B ameonekana akipiga show jijini Riyadh katika nchi ya Saudi Arabia ambapo ndipo chimbuko la Uislamu. Watu wamehoji kuwa misingi ya Uislamu katika nchi yenye chimbuko la Uislamu imeenda wapi, wengine wakisema Waislamu wanapambana kupeleka Uislamu Marekani na ulaya, na Wamarekani wanapambana kupeleka uzungu huko Uarabuni. Mwingine akadai show kama hizi uwezi kuzikuta Vatican.
View attachment 3515873
sasa unataka ku compare Vatican (kitongoji kidogo sana hapo Rome hakifikii hata ukubwa wa Tanganyika Packers kwa Mwamposa) yenye watu 800 kuanzia Papa, ma padre na masista na nchi yenye watu milioni 35 wenye mchanganyiko wa aina tofauti na wageni?Hivi Karibuni Rapper kutoka Marekani Card B ameonekana akipiga show jijini Riyadh katika nchi ya Saudi Arabia ambapo ndipo chimbuko la Uislamu. Watu wamehoji kuwa misingi ya Uislamu katika nchi yenye chimbuko la Uislamu imeenda wapi, wengine wakisema Waislamu wanapambana kupeleka Uislamu Marekani na ulaya, na Wamarekani wanapambana kupeleka uzungu huko Uarabuni. Mwingine akadai show kama hizi uwezi kuzikuta Vatican.
View attachment 3515873
Ila ilishapigwa show ya LGBTQ+ huko huko shahidi alikua Papa..Mwingine akadai show kama hizi uwezi kuzikuta Vatican.
Unaijua Saudi Arabia vizuri ya enzi hizo wewe kipindi cha Mohamed, sheria zake zilikuwa nomasasa unataka ku compare Vatican yenye watu 800 Papa, ma padre na masista na nchi yenye watu milioni 35 wenye mchanganyiko wa aina tofauti na wageni?
Mbona hujazungumzia kina Ronaldo na wazungu wengine walioko huko na hawako Vatican?
Hiyo ni jamii na haikwepeki labda uamue kujifungia kama watawa wa Vatican
Kwani unafikiri hawapemdi hayo mambo? Wanayapenda na wanayamiss ni unafiki tu.Hivi Karibuni Rapper kutoka Marekani Card B ameonekana akipiga show jijini Riyadh katika nchi ya Saudi Arabia ambapo ndipo chimbuko la Uislamu. Watu wamehoji kuwa misingi ya Uislamu katika nchi yenye chimbuko la Uislamu imeenda wapi, wengine wakisema Waislamu wanapambana kupeleka Uislamu Marekani na ulaya, na Wamarekani wanapambana kupeleka uzungu huko Uarabuni. Mwingine akadai show kama hizi uwezi kuzikuta Vatican.
View attachment 3515873
Vipi kuhusu Uislamu... sio kwamba ndio misingi inayeyukaKwani unafikiri hawapemdi hayo mambo? Wanayapenda na wanayamiss ni unafiki tu.
Saudia wamegundua wamechelewa kufuata njia ya Dubai sasa hivi wanapambana kwa kasi ndio maana event nyingi za kidunia wanatoa mpunga mrefu zi Vandalia kwao. Boxing,UFC,NBA na hizo concert zinalipa Saudia kuliko sehwmu yoyote.
Unaijua Saudi Arabia vizuri ya enzi hizo wewe kipindi cha Mohamed, sheria zake zilikuwa noma
Kuna tofauti kati ya Uislam, uko perfect ila Waislam, wenye majina ya kiislam na wali zaliwa katika uislam wengi hawaijui dini au wanafuata mkumboVipi kuhusu Uislamu... sio kwamba ndio misingi inayeyuka