Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ThibitishaWatu wapo kazini,
Unafikiri mtoa mada hajui kama diamond hakamatiki? Analijua sana ila sasa yeye team K, na hii ID yake wenzake wanaifaham, katu hatojaribu kuposti chochote kile kizuli ktk kwa Mondi,
Kwa hichi alicho post tayari kashaingiza pesa, tusimlaum sana,
Mziki uko ivo Lazima kuwe na vuta nikuvute,
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaweza himili kupigwa Ban..??Mkuundu gu yetu umepaniki?
Kwani nimefanya nini mkuu ndugu yangu?Mkuu unaweza himili kupigwa Ban..??
Nimetoka kifungoni leo kisa...😅
Mwimbo=WimboWivu ni mbaya sana aminakiba,ingekuwa ni copy asingeruhusiwa kuupiga huo mwimbo,wenzetu wapo smart sana ktk mambo hayo na ndio maana mumeo mwingine harmoniza kwenye albam yake mpya nyimbo kibao hazipigwi tv kubwa za kimataifa kwa ajili amezikopi hvyo wanaogopa watalipishwa pesa nyingi incase wenye nyimbo OG wakifungua kesi mahakamani
😆😆😆😆😆😆😆Kiba mwenyewe alinunua airtime CNN sema tu hapendi show off akasema wasimtangaze
Soma komenti yako ya kwanza!Kwani nimefanya nini mkuu ndugu yangu?
Ile ni sahihi kabisa mkuuSoma komenti yako ya kwanza!
Wale jamaa hawajuagi hata kuwa kuna typing error!
We ni Kilaza uelewi kitu humu Kaa kimya.Wivu ni mbaya sana aminakiba,ingekuwa ni copy asingeruhusiwa kuupiga huo mwimbo,wenzetu wapo smart sana ktk mambo hayo na ndio maana mumeo mwingine harmoniza kwenye albam yake mpya nyimbo kibao hazipigwi tv kubwa za kimataifa kwa ajili amezikopi hvyo wanaogopa watalipishwa pesa nyingi incase wenye nyimbo OG wakifungua kesi mahakamani
Watanzania wengine ni waajabu, wimbo wa Jeje unapendwa? Wewe shida yako ni nini? Mwenye wimbo unaosemekana umenakiliwa (copy) amelalamika ?- Hapana! Wa -Tz tuache ujuaji wa kupitiliza na kukuza mambo! Wimbo wa Jeje unavuma na "Diamond anapeperusha bendera vizuri - tumuunge mkono. Nyimbo nyingi za mapenzi zinafanana - tofauti ni uwakilishaji wa hisia. Diamond alijiandaa kisawasawa na akatikisa - tabia ya kutochukulia mambo poa ndiyo silaha ya maendeleo! Tusitafute tafute sababu za kujidharau na kujiweka chini. Big Up Diamond!Inakuaje Unajiita Msanii Mkubwa na Umepata kabahati ka Kuperform kwenye Show kubwa kama ile..
Unaenda kuperform Copy ya Nyimbo ya Msanii Mwezako? Hakuna Asiyejua Kua Jeje ni Copy..
Nikiwa kama Mdau wa Mziki na burudani Nimesikitika Sana, kweli Kijana Kaisha Ni bora Angeimba nyimbo ya kitorondo Sisi ma-Master wa hili Game tungemuelewa
We ni Kilaza uelewi kitu humu Kaa kimya.