Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Jamii forum inatoa nafasi Sawa ya kutoa hoja (welevu kwa wapumbavu) Ila kuna baadhi ya watu (watoa hoja) tungekuwa tunawajua (kama huyu) hata hoja zao tusingezisoma kabisa
Sasa we Guruguja una Hoja Gani?
 
Watu wapo kazini,

Unafikiri mtoa mada hajui kama diamond hakamatiki? Analijua sana ila sasa yeye team K, na hii ID yake wenzake wanaifaham, katu hatojaribu kuposti chochote kile kizuli ktk kwa Mondi,

Kwa hichi alicho post tayari kashaingiza pesa, tusimlaum sana,

Mziki uko ivo Lazima kuwe na vuta nikuvute,

Sent using Jamii Forums mobile app
Thibitisha
 
Wivu ni mbaya sana aminakiba,ingekuwa ni copy asingeruhusiwa kuupiga huo mwimbo,wenzetu wapo smart sana ktk mambo hayo na ndio maana mumeo mwingine harmoniza kwenye albam yake mpya nyimbo kibao hazipigwi tv kubwa za kimataifa kwa ajili amezikopi hvyo wanaogopa watalipishwa pesa nyingi incase wenye nyimbo OG wakifungua kesi mahakamani
 
Mwimbo=Wimbo
 
Kwanza kabla kulalamika kuhusu alichofanya diamond ungempatia kidogo hongera amethubutu.
 
Wivu ni mbaya sana aminakiba,ingekuwa ni copy asingeruhusiwa kuupiga huo mwimbo,wenzetu wapo smart sana ktk mambo hayo na ndio maana mumeo mwingine harmoniza kwenye albam yake mpya nyimbo kibao hazipigwi tv kubwa za kimataifa kwa ajili amezikopi hvyo wanaogopa watalipishwa pesa nyingi incase wenye nyimbo OG wakifungua kesi mahakamani
We ni Kilaza uelewi kitu humu Kaa kimya.
 
Inakuaje Unajiita Msanii Mkubwa na Umepata kabahati ka Kuperform kwenye Show kubwa kama ile..

Unaenda kuperform Copy ya Nyimbo ya Msanii Mwezako? Hakuna Asiyejua Kua Jeje ni Copy..

Nikiwa kama Mdau wa Mziki na burudani Nimesikitika Sana, kweli Kijana Kaisha Ni bora Angeimba nyimbo ya kitorondo Sisi ma-Master wa hili Game tungemuelewa
Watanzania wengine ni waajabu, wimbo wa Jeje unapendwa? Wewe shida yako ni nini? Mwenye wimbo unaosemekana umenakiliwa (copy) amelalamika ?- Hapana! Wa -Tz tuache ujuaji wa kupitiliza na kukuza mambo! Wimbo wa Jeje unavuma na "Diamond anapeperusha bendera vizuri - tumuunge mkono. Nyimbo nyingi za mapenzi zinafanana - tofauti ni uwakilishaji wa hisia. Diamond alijiandaa kisawasawa na akatikisa - tabia ya kutochukulia mambo poa ndiyo silaha ya maendeleo! Tusitafute tafute sababu za kujidharau na kujiweka chini. Big Up Diamond!
 
We ni Kilaza uelewi kitu humu Kaa kimya.

Aminakiba endelea kumtolea povu Dangote wa industry ya mziki East Africa,wakati yeye anapiga hatua kubwa kwa mafanikio makubwa,hebu burudika na quarantine kidogo upunguze stress bishostito
 
Back
Top Bottom