Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnavompamba huyo mond utafikiri kuimba anajuuuua kumbe kawaida tu msipaishe kihivyoooo Hana lolote zaidi ya ujanja ujanjaNimetoka kuangalia performance za wasanii wa Africa kwenye hii kampeni ya MTV base ya kuchangia waathirika wa Corona aisee Diamond Ni best performer aisee idea aliyokuja nayo nimependa kafanya tofauti na wasanii wengine very unique idea.
Hivyo ndio msanii unatakiwa uwe nimeona page ya Instagram ya MTV base Hadi sasa yeye ndio ana kura nyingi ya watu waliomkubali ukija Tweeter jamaa ndio anaongelewa hapo ndio teyali kashajiweka sokoni.
Ukiachana na Diamond aliyenivutia Ni aka naye kafanya poa ila niseme ukweli burna boy kwenye suala nzima la performance yupo hovyo sio tu kwenye hii show kafanya kawaida Sana hata alivyokuja hapa bongo alipuyanga
Usije rudia tena kumfananisha fundi burna boy na huyu kigagula DIAMOND burna boy ni kiumbe wa sayari nyingne mbali sansKama ulikuwa hujui huko kukata mauno na kucheza cheza ndio kunamfanya awe tofauti na wasanii wengine kwenye Stage .....Nakuhakikishia Huyo Burmaboy hana uwezo wa kumshinda Diamond platnumz on stage hana.
Nandy nae toka ruge afe hakuna anaye mbeba tena ndo mda wake wa kupoteana huuWasanii Wote wameperform Vizuri ila Nandy kwa kweli hakujiandaa sijui ndo kukosa team hajafanya maajabu kabisa aiseee RIP Ruge
Kama ulikuwa hujui huko kukata mauno na kucheza cheza ndio kunamfanya awe tofauti na wasanii wengine kwenye Stage .....Nakuhakikishia Huyo Burmaboy hana uwezo wa kumshinda Diamond platnumz on stage hana.
😃Baada ya kuona Uzi kabla sijakoment kitu nikaenda kuiangalia io performance kusema kweli ya kawaida Sana hata comment nyingi ni wabongo ndio wanao comment
Sent using Jamii Forums mobile app
unataka apate mahaba kwa wanawake wenzako?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787] dah haya mahaba ya dhati uliyonayo kwa mwanaume mwenzio hayaelezeki
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata atumie njia gan kama hajui hajui tuJamaa kaona isiwe kesi,Kiki Hakuna Kaamua kujilipua kwa kununua Airtime ili Akiki siku mbili tatu
View attachment 1459491
nilitegemea watu kama wew wawepo tu,kwan kina burnaboy hawana wanaigeria wengi tu Wa kuwacommentia kwamba wamefanya poa, acha ushambaBaada ya kuona Uzi kabla sijakoment kitu nikaenda kuiangalia io performance kusema kweli ya kawaida Sana hata comment nyingi ni wabongo ndio wanao comment
Sent using Jamii Forums mobile app
sure yaani mtu anapiga show england kwenye uwanja unaojaza watu 20000 na watu wana kubali. ..halafu kuna wabongo huku wapo mchambawima wanasema burna hajui kupiga showHapo kwenye performance anamzidi burna boy kunahitilafu kidogo ,usichukulie performance ya burna bongo kama ndio level zake ,yule mtu yuko na performance za moto since album yake ya outside na kwingine
Diamond ni mzuri tuu kwenye kukata mauno na kucheza cheza
It is never too late to begin. Start now
Nimetoka kuangalia performance za wasanii wa Africa kwenye hii kampeni ya MTV base ya kuchangia waathirika wa Corona aisee Diamond Ni best performer aisee idea aliyokuja nayo nimependa kafanya tofauti na wasanii wengine very unique idea.
Hivyo ndio msanii unatakiwa uwe nimeona page ya Instagram ya MTV base Hadi sasa yeye ndio ana kura nyingi ya watu waliomkubali ukija Tweeter jamaa ndio anaongelewa hapo ndio teyali kashajiweka sokoni.
Ukiachana na Diamond aliyenivutia Ni aka naye kafanya poa ila niseme ukweli burna boy kwenye suala nzima la performance yupo hovyo sio tu kwenye hii show kafanya kawaida Sana hata alivyokuja hapa bongo alipuyanga
Hapo kwenye performance anamzidi burna boy kunahitilafu kidogo ,usichukulie performance ya burna bongo kama ndio level zake ,yule mtu yuko na performance za moto since album yake ya outside na kwingine
Diamond ni mzuri tuu kwenye kukata mauno na kucheza cheza
It is never too late to begin. Start now
[/QUOTE UMEONA SHOW ZAO KWELI??
dah bora ungekaa kimya tu ,sasa ndio umeyavuruga kabisa,Nyie Guruguja sikilizeni Kwenye list iliyokua Imepitishwa Jina la Diamond na Nandy hayakuwemo, Wasanii waliokua Wamechaguliwa ni Alikiba na Harmonize
Baada ya Jamaa wa Wcb kusikia Huu Mchongo Jamaa wakazunguka Wakatoa Mpunga mrefu majina ya awali yakachomolewa na kupachika la Chibunye na Nandy..
Kaeni Kitaalamu Acheni kukaa kipimbi
Daaahhh wewe mtu huendi mbinguni [emoji23][emoji23][emoji23]
Burna ndo zake. Move zake anazijua yeye mwenyewe !!!ila niseme ukweli burna boy kwenye suala nzima la performance yupo hovyo sio tu kwenye hii show kafanya kawaida Sana hata alivyokuja hapa bongo alipuyanga
sure yaani mtu anapiga show england kwenye uwanja unaojaza watu 20000 na watu wana kubali. ..halafu kuna wabongo huku wapo mchambawima wanasema burna hajui kupiga show
aise kupata vichekesho kama hivi bofya *130*12#