Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Ile footage ingekuwa kwenye camera kubwa ingebamba zaidi Director wa Diamond alikuwa sahihi kukataa footage ya simu visibility ya images inakuwa very poor
 
Nyie Guruguja sikilizeni Kwenye list iliyokua Imepitishwa Jina la Diamond na Nandy hayakuwemo, Wasanii waliokua Wamechaguliwa ni Alikiba na Harmonize

Baada ya Jamaa wa Wcb kusikia Huu Mchongo Jamaa wakazunguka Wakatoa Mpunga mrefu majina ya awali yakachomolewa na kupachika la Chibunye na Nandy..

Kaeni Kitaalamu Acheni kukaa kipimbi
Sasa muelewe akili ya mtu mnaejibizana nae hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayuko pekee yake mwenye chuki za kutisha Kissima hiki Mkuu, wapo wengi tu wenye roho za KUTU dhihi ya DP.

Mhhhhhh Kingereza kwako kigumu.
🤣🤣🤣.

Hiyo show wamechaguliwa wasanii wakubwa wanao fanya vizuri ktk music industry ya Africa kwa ajili ya kuchangisha hela kwa waathirika wa Covid19 ina lenga watoto wa Africa.

Dah kweli leo ndio nimekuelewa vizuri,yaani unamchukia mtu mpaka sehemu zisizohusika,yaani wewe ukiambiwa umtengenezee sumu Diamond kwa jinsi ulivyo na roho mbaya utaionja kwanza alafu utampa.

Soma post hizo uzielewe na si kukurupuka.
 
Nyie Guruguja sikilizeni Kwenye list iliyokua Imepitishwa Jina la Diamond na Nandy hayakuwemo, Wasanii waliokua Wamechaguliwa ni Alikiba na Harmonize

Baada ya Jamaa wa Wcb kusikia Huu Mchongo Jamaa wakazunguka Wakatoa Mpunga mrefu majina ya awali yakachomolewa na kupachika la Chibunye na Nandy..

Kaeni Kitaalamu Acheni kukaa kipimbi
Leta ushahidi......

Leo ndo nimeamini we jamaa kumbe akili huna yaani una ushabiki maaandazii maki wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom