Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Show ya Diamond Platnumz (MTV Base )

Ina
Nyie Guruguja sikilizeni Kwenye list iliyokua Imepitishwa Jina la Diamond na Nandy hayakuwemo, Wasanii waliokua Wamechaguliwa ni Alikiba na Harmonize

Baada ya Jamaa wa Wcb kusikia Huu Mchongo Jamaa wakazunguka Wakatoa Mpunga mrefu majina ya awali yakachomolewa na kupachika la Chibunye na Nandy..

Kaeni Kitaalamu Acheni kukaa kipimbi
nekana ukimuona Ally kiba vimaji vinakutoka.
 
Acha Wivu.. Ukiona hivi Jua Nashusha Nondo matata sana..
Ahahahahaha! Yani unafurahia mashudu yako kuhaririwa vile ambavyo wewe hukutawasilisha?
.
Umeandika view zako kama mdau wa sanaa mwenye CHUKI its it's okay alafu maoni yako yanahaririwa ili yapendeze.
 
Ahahahahaha! Yani unafurahia mashudu yako kuhaririwa vile ambavyo wewe hukutawasilisha?
.
Umeandika view zako kama mdau wa sanaa mwenye CHUKI its it's okay alafu maoni yako yanahaririwa ili yapendeze.
Kwann mtu akiwa tofaut na mawazo yako inakuwa defined kama chuki?..tujifunze kupokea hata Yesu na Mtume hawakukubaliwa na watu wote.
 
Back
Top Bottom