Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nekana ukimuona Ally kiba vimaji vinakutoka.Nyie Guruguja sikilizeni Kwenye list iliyokua Imepitishwa Jina la Diamond na Nandy hayakuwemo, Wasanii waliokua Wamechaguliwa ni Alikiba na Harmonize
Baada ya Jamaa wa Wcb kusikia Huu Mchongo Jamaa wakazunguka Wakatoa Mpunga mrefu majina ya awali yakachomolewa na kupachika la Chibunye na Nandy..
Kaeni Kitaalamu Acheni kukaa kipimbi
Ahahahahaha! Yani unafurahia mashudu yako kuhaririwa vile ambavyo wewe hukutawasilisha?Acha Wivu.. Ukiona hivi Jua Nashusha Nondo matata sana..
Unaonaje wewe nawe ujaribu kum_copy Diamond ili na wewe utoke!? Au na wewe hupendi show off.Nyimbo zake nyingi ni copies za Fela Kuti
Kwann mtu akiwa tofaut na mawazo yako inakuwa defined kama chuki?..tujifunze kupokea hata Yesu na Mtume hawakukubaliwa na watu wote.Ahahahahaha! Yani unafurahia mashudu yako kuhaririwa vile ambavyo wewe hukutawasilisha?
.
Umeandika view zako kama mdau wa sanaa mwenye CHUKI its it's okay alafu maoni yako yanahaririwa ili yapendeze.