Show ya Harmonize Yanga Day

Show yake ilikuwa mbovu ukiachana na tukio Hilo sauti Ni tatizo Sana nililoliona
 
Kwahiyo utaweza kutua umesimama ?
Acheni hizo like begi ni la kazi gani mgongoni unafikiri lazima utue mgongo au matako
 

Sasa unampongeza badala ya kumpa pole kwa kudondoka we vipi?
 
Andikakiswahili fasaha bwana!!Ko=Kwahiyo
 
mimi nashangaaga hivi kwanini tunawachukia vijana wetu jamani
hatuoni aibu[emoji22] Diamond & Harmo nk wanafanya kazi sana, wanatafuta mkate wao wa kila siku ni sapoti inahitajika sio chuki binafsi
 
Konde boy A.k.A Jeshi m, ashasema hanaga pigo za kirembo
 
ubunifu unaruhusiwa lakini siku nyingne afanye rehersal za kutosha kuhusiana na Kamba husika au njia husika ya kuja nayo uwanjani.......nilikuwa muoga sana je angetoka tangu kule juu ingekuwaje si na sherehe ingeishia hapohapo
 
Hakuna Cha harmonize wala nini hapa ni DIAMOND TU NA RAYVANNY OVA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…