Kigoma Independent
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 3,519
- 2,055
Tunamshauri aache sifa za kijinga sawamichael jackson alipata ajali wakati anatengeneza tangazo la Pepsi akaungua moto lakini wazungu hawakumcheka walimuulumia,hapa Harmonize mnamcheka na kumkejeli!!!
Ubunifu wa hali ya juu! Hongera kwake. Vyovyote watu watakavyosema ila yeye ndiye wa kwanza kufanya entry ya stunt hatari, historia itamkumbuka! Lazima ameamsha wengine pia sasa waumize vichwa sio unaingia tu uwanja kama unaenda bafuni! Kuwa wa kipekee ndio alichofanya harmonize...Nakupongeza sana, kozi ya miezi sita kwa WANAJESHI wewe umeifanya kwa masaa kadhaa, ajali uliyoipata ni kawaida sana ingawa watu watakucheka.
Anachokiongea ebu fungua Uzi kabisa alafu uone Kama wadau watakuunga mkono?show aliyofanya Mondi ya CCM pamoja na Kiba daah!, siku ile niliona utofauti wa Kiba na Mondi, nikaelewa kwanini Kiba anajiita King,Talent beats everything
Huu kutaka UTOFAUTI, kuna siku utakuja kuwaachia madhara. Tulishaona huko nyuma ,TINGATINGA, JENEZA, FARASI nk.Ubunifu wa hali ya juu! Hongera kwake. Vyovyote watu watakavyosema ila yeye ndiye wa kwanza kufanya entry ya stunt hatari, historia itamkumbuka! Lazima ameamsha wengine pia sasa waumize vichwa sio unaingia tu uwanja kama unaenda bafuni! Kuwa wa kipekee ndio alichofanya harmonize...
Komando anapumzika!!!Nakupongeza sana, kozi ya miezi sita kwa WANAJESHI wewe umeifanya kwa masaa kadhaa, ajali uliyoipata ni kawaida sana ingawa watu watakucheka.
Ambition plus Huo Ni ubunifu wa kipuuzi atafute ubunifu utaoendana na level yake haya masuala ya kutaka kuwa tofauti Ili asifanane na aliyekuwa boss wake Diamond usishangae siku akaingia na boxer uwanjaniAjali ni kitu cha kawaida,kijana ameonyesha creativity,sion sababu ya kumponda na kumcheka
Hawa inabidi waige waluofanikiwa kiukweli sio janja janja, Jigga, slim shady, Diddy mbona wanaingia kawaida tuHuu kutaka UTOFAUTI, kuna siku utakuja kuwaachia madhara. Tulishaona huko nyuma ,TINGATINGA, JENEZA, FARASI nk.
Nilijua tulikwisha yaacha! Yameanza kurudi!
Kwenye malipo yake akatwe,yani kamba ndo wanalazimisha iwe helcopter?na show yetu ya yanga angeharibu mbwa yule
Ila wengine husema "msiba wa kujitakia hauna kilio" sijui ni kweli!?Ni ujinga kumcheka mtu anapopata ajali.
Ila wengine husema "msiba wa kujitakia hauna kilio" sijui ni kweli!?
Msifie basi na baba yako hata siku mojaEfforts beat everything square DIAMOND BABA LAO
Binafsi mimi mmachinga nabangaiza tu. Mimi boss wangu ni mimi mwenyewe. Kama wewe ndio uliemshauri boss wako aje na ubunifu ule ambao karibia umvunje mgongo, anatakiwa akufukuze kazi. Wewe ndio wale wapambe nuksi. Bila shaka utakuwa umetumwa umuharibie. Kikulacho ki nguoni mwako.boss wenu anahubiri ubunifu kila siku, nyinnyi zombie mnabeza wanaomsikiliza na kufanya.
roho za kichawi hazijengi.
Umemaliza kila kitu.Binafsi mimi mmachinga nabangaiza tu. Mimi boss wangu ni mimi mwenyewe. Kama wewe ndio uliemshauri boss wako aje na ubunifu ule ambao karibia umvunje mgongo, anatakiwa akufukuze kazi. Wewe ndio wale wapambe nuksi. Bila shaka utakuwa umetumwa umuharibie. Kikulacho ki nguoni mwako.