Show ya Harmonize Yanga Day

Show ya Harmonize Yanga Day

Yule jamaa aliye kuwa anailegeza ile string alikuwa anamvunja Konde na kwa jinsi inavyoenekana kama ilimponyoka bahati nzuri kaiwahi la sivyo tungekuwa tunaongea mengine
 
FB_IMG_15988153010137871.jpg
FB_IMG_15988153010137871.jpg
FB_IMG_15988154397285739.jpg
FB_IMG_15988441998906368.jpg
 
Nakupongeza sana, kozi ya miezi sita kwa WANAJESHI wewe umeifanya kwa masaa kadhaa, ajali uliyoipata ni kawaida sana ingawa watu watakucheka.
Ubunifu wa hali ya juu! Hongera kwake. Vyovyote watu watakavyosema ila yeye ndiye wa kwanza kufanya entry ya stunt hatari, historia itamkumbuka! Lazima ameamsha wengine pia sasa waumize vichwa sio unaingia tu uwanja kama unaenda bafuni! Kuwa wa kipekee ndio alichofanya harmonize...
 
show aliyofanya Mondi ya CCM pamoja na Kiba daah!, siku ile niliona utofauti wa Kiba na Mondi, nikaelewa kwanini Kiba anajiita King,Talent beats everything
Anachokiongea ebu fungua Uzi kabisa alafu uone Kama wadau watakuunga mkono?
 
Ubunifu wa hali ya juu! Hongera kwake. Vyovyote watu watakavyosema ila yeye ndiye wa kwanza kufanya entry ya stunt hatari, historia itamkumbuka! Lazima ameamsha wengine pia sasa waumize vichwa sio unaingia tu uwanja kama unaenda bafuni! Kuwa wa kipekee ndio alichofanya harmonize...
Huu kutaka UTOFAUTI, kuna siku utakuja kuwaachia madhara. Tulishaona huko nyuma ,TINGATINGA, JENEZA, FARASI nk.
Nilijua tulikwisha yaacha! Yameanza kurudi!
 
Pamoja na kuingia kwa mbwembwe hitsong ya kuwainua mashabiki anayo moja tu, UNO.
 
boss wenu anahubiri ubunifu kila siku, nyinnyi zombie mnabeza wanaomsikiliza na kufanya.

roho za kichawi hazijengi.
Binafsi mimi mmachinga nabangaiza tu. Mimi boss wangu ni mimi mwenyewe. Kama wewe ndio uliemshauri boss wako aje na ubunifu ule ambao karibia umvunje mgongo, anatakiwa akufukuze kazi. Wewe ndio wale wapambe nuksi. Bila shaka utakuwa umetumwa umuharibie. Kikulacho ki nguoni mwako.
 
Umemaliza kila kitu.
 
Back
Top Bottom