Mtuflani Official
JF-Expert Member
- Dec 31, 2019
- 1,952
- 4,416
Ebu kuwa serious mzee
Kwani naonekana natania??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ebu kuwa serious mzee
Ambition plus Huo Ni ubunifu wa kipuuzi atafute ubunifu utaoendana na level yake haya masuala ya kutaka kuwa tofauti Ili asifanane na aliyekuwa boss wake Diamond usishangae siku akaingia na boxer uwanjani
Manara anapenda utani ila utani hauwezi.Hakuna jipya kuiga tu awe mbunifuView attachment 1553496View attachment 1553497
Ebu nenda kaongee hiyo kauli kwenye umati wa watu uone reaction yake utakachokutana nacho me sipoKwani naonekana natania??
Juhudi zipi?Una juhudiiiiiiiii!!!
Aisee
kazini
Binafsi mimi mmachinga nabangaiza tu. Mimi boss wangu ni mimi mwenyewe. Kama wewe ndio uliemshauri boss wako aje na ubunifu ule ambao karibia umvunje mgongo, anatakiwa akufukuze kazi. Wewe ndio wale wapambe nuksi. Bila shaka utakuwa umetumwa umuharibie. Kikulacho ki nguoni mwako.
Nimebeza upuuzi alioufanya. Mwishoni nyie wapambe nuksi mtamshauri aingie akiwa ndani ya jeneza.machinga sio wa kumbeza harmonize.
wewe ni wale wale wapigapicha wamesimama wamekunja mguu mmoja😆😆😆.
kwani tatizo nini, mond nani alimshauri??Nimebeza upuuzi alioufanya. Mwishoni nyie wapambe nuksi mtamshauri aingie akiwa ndani ya jeneza.
Au aingie na boxerNimebeza upuuzi alioufanya. Mwishoni nyie wapambe nuksi mtamshauri aingie akiwa ndani ya jeneza.
Ubunifu wa mondi unaweza kuufananisha na Huu wa kiboya wa konde boy hiv angekufa pale lawama zingeenda wapi?kwani tatizo nini, mond nani alimshauri??
Hahahganitakua mchawi kwa mara ya tano
Pale juu ina maana ni juu sana ?Watu wanasifia ubunifu bt Kuna kipindi flan niliona kwenye taarifa ya habari Kuna jamaa alibuni mchezo wake wa kuruka toka ghorofani afu chini anategesha matank ya maji,haikuchukua round jamaa alikata Moto ukawa mwisho wa mchezo,,,maisha ni mhim kuliko sifa harmo jana alidata toka yupo juu alishaonesha uoga flan
Ndio wabongo tulivyo ...fitna chuki dharau .kejeli roho mbaya wivu majungu ushirikina uchawi roho mbaya ...yaani hii combo yote wa-bongo ndio Tamaduni yetu vey sadmichael jackson alipata ajali wakati anatengeneza tangazo la Pepsi akaungua moto lakini wazungu hawakumcheka walimuulumia,hapa Harmonize mnamcheka na kumkejeli!!!
Alishidwa kujipanga vyema ..alipaswa kuwa na team ya watu wengi ambayo ingekwenda kumsubiria atakapo jirusha toka juu wamdake "Bongo nyoso sana mkuu,actually ile kwanza sio kuanguka kama wanavyosema ila ndo ilitakiwa ashuke vile kutoka juu kwenye kamba,hebu fikiria angeshukaje kama sio kwa style ile??
Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Michael Jackson alikuwa anatengeneza kufanya biashara. Harmonize alishafanya biashara kwa kuingia mkataba wa kupiga show, ila aliamua kuweka manjonjo. Hapo kuna mambo mawili tofauti kati ya hao wawilimichael jackson alipata ajali wakati anatengeneza tangazo la Pepsi akaungua moto lakini wazungu hawakumcheka walimuulumia,hapa Harmonize mnamcheka na kumkejeli!!!