Show ya Harmonize Yanga Day

Show ya Harmonize Yanga Day

Watu wanasifia ubunifu bt Kuna kipindi flan niliona kwenye taarifa ya habari Kuna jamaa alibuni mchezo wake wa kuruka toka ghorofani afu chini anategesha matank ya maji,haikuchukua round jamaa alikata Moto ukawa mwisho wa mchezo,,,maisha ni mhim kuliko sifa harmo jana alidata toka yupo juu alishaonesha uoga flan
 
Binafsi mimi mmachinga nabangaiza tu. Mimi boss wangu ni mimi mwenyewe. Kama wewe ndio uliemshauri boss wako aje na ubunifu ule ambao karibia umvunje mgongo, anatakiwa akufukuze kazi. Wewe ndio wale wapambe nuksi. Bila shaka utakuwa umetumwa umuharibie. Kikulacho ki nguoni mwako.

machinga sio wa kumbeza harmonize.
wewe ni wale wale wapigapicha wamesimama wamekunja mguu mmoja😆😆😆.
 
machinga sio wa kumbeza harmonize.
wewe ni wale wale wapigapicha wamesimama wamekunja mguu mmoja😆😆😆.
Nimebeza upuuzi alioufanya. Mwishoni nyie wapambe nuksi mtamshauri aingie akiwa ndani ya jeneza.
 
Akafanye check up ya intern body, kujua ndan kukuoje isije kua tabu baadae.
 
Watu wanasifia ubunifu bt Kuna kipindi flan niliona kwenye taarifa ya habari Kuna jamaa alibuni mchezo wake wa kuruka toka ghorofani afu chini anategesha matank ya maji,haikuchukua round jamaa alikata Moto ukawa mwisho wa mchezo,,,maisha ni mhim kuliko sifa harmo jana alidata toka yupo juu alishaonesha uoga flan
Pale juu ina maana ni juu sana ?

Chameleon alianguka Arusha kutokea ghorofa ya 4, pale alipokuwa Harmonize sidhani hata kama panazidi mita 10 kwenda juu
 
michael jackson alipata ajali wakati anatengeneza tangazo la Pepsi akaungua moto lakini wazungu hawakumcheka walimuulumia,hapa Harmonize mnamcheka na kumkejeli!!!
Ndio wabongo tulivyo ...fitna chuki dharau .kejeli roho mbaya wivu majungu ushirikina uchawi roho mbaya ...yaani hii combo yote wa-bongo ndio Tamaduni yetu vey sad
 
Bongo nyoso sana mkuu,actually ile kwanza sio kuanguka kama wanavyosema ila ndo ilitakiwa ashuke vile kutoka juu kwenye kamba,hebu fikiria angeshukaje kama sio kwa style ile??

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
Alishidwa kujipanga vyema ..alipaswa kuwa na team ya watu wengi ambayo ingekwenda kumsubiria atakapo jirusha toka juu wamdake "

All in all jamaa ni game changer ameweza sana kuleta ushindani katika game ya tz ulimwengu umbariki zaidi
 
michael jackson alipata ajali wakati anatengeneza tangazo la Pepsi akaungua moto lakini wazungu hawakumcheka walimuulumia,hapa Harmonize mnamcheka na kumkejeli!!!
Michael Jackson alikuwa anatengeneza kufanya biashara. Harmonize alishafanya biashara kwa kuingia mkataba wa kupiga show, ila aliamua kuweka manjonjo. Hapo kuna mambo mawili tofauti kati ya hao wawili
 
Back
Top Bottom