SHow ya Wema sepetu. EATV

Papaa Azonto

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
319
Reaction score
277
Nashindwa kuelewa hii show ya Wema sepetu! Kipndi kipokipo tuh, alafu hao watu wa TX, I mean wanaorusha matangazo wa hapo studio wanakata kata kwa kuingiza matangazo bila hata mpngilio!
Kipndi hakina ubunifu kabisaah ni kama kipnd cha mkasi tuh! Too bored! Alafu kujifanya wanajua kiingereza adi tunapata taabu kuwa wakaliman kwa kuwatafsria watu, wema tunajua wajua lugha ebu ongea kiswahili fasaha bana!
 
mie nimeshindwa kukielewa kabisaaaaaaaaaaaa...you know nyingiii wewe....

may be with time wanaweza kukiboresha ila kwa leo hapana
 
mkasi kina nafuu mara buku 7, yaaani nimecheka,ngeli ya kuunga unga,umarekani mwiiiingi, code mixing na code swiching za kufa mtu, ha haa, ni ya kitoto bora kukaA na kuangalia KIRIKOU kuliko hii show,poor creativity,pyuuuuu!

over

Hahaaaa una hasiraaaaa...yaaani kirikou inafurahisha kuliko mautumvo ya bata haya ya wema sepetu
 
Mimi hizi tv za Tanzania mimi huwa naangalia taarifa za habari tu basi labda na comedy tu, mengine uzushi mtupu.
 
kimeanza vibaya,yani kuliko matarajio ya wengi

ila leo kuna futuhi brother K atanifurahisha
 
Umeniwahi!! Mm ningependejeza kifungiwe kabisa kwasababu ni aubu kwa eatv na hata jamii kwa ujumla maana lugha inayotumika si ya dunia hii, labda ni lugha ya huko jupiter!!!
 
Yaani mie nilikisubilia kwa hamu ya ajabu.hee kuona me you know mother Fantazzzzzz nikazima liti TV nikaenda zangu kulala.sikutegemea kama ningekutana na upuuzi ule khaaaa.
 
Kampuni yake inaitwa Endless fame, so I think anatafuta kuongeza umaarufu katika nyanja zote. Sijui kamuangalia Wendy Williams au kam-reminisce Tyra enzi zake as a reality show personality. Mi naona kwa wenzetu hawa maselebu everyday wenyewe wanachowaza ni kutrend kwenye medias kwa kila wanachofanya. Mara wema awafanyie shopping mbwa wake kwa sh. Milion 5, mara amekodi mabodyguard anatembea nao, kwa kifupi theyr on the wrong planet to do all these shi.ts
 
Mimi na kiswanglish ni tofauti kabsa. Kuna yule demu wa hotmix yani anakera haswa. Kiingerezani hayupo.kiswahilini hapatikani. Wema kaongeza janga jingne.
 
talkshow za bongo utumbo mtupo bora kile cha wanawake live cha joyce kiria vingine hawajielewi nini wanafanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…