uliangalia kpnd leo?
inatokea mara chache sana kwa selebriti wa kitanzania kusifiwa na watanzania wenzake
Hapana penye ukweli lazima raia waongee. Mbona diary ya lady jay dee watu tunakiangalia na kipo safi? Wema mbwembwe nyingi!
inatokea mara chache sana kwa selebriti wa kitanzania kusifiwa na watanzania wenzake
Ayah nikuulize uliangalia kipind cha jana? Ulielewah? Hapo walikuwa wana shot scne au?? Mbona show ya Jay de watu hatuongei saana? Mara mia niangalie JAMBO NA VIJAMBO inayoelimisha
Mimi hizi tv za Tanzania mimi huwa naangalia taarifa za habari tu basi labda na comedy tu, mengine uzushi mtupu.
inatokea mara chache sana kwa selebriti wa kitanzania kusifiwa na watanzania wenzake
Afadhali wewe unaangalia na iyo comedy yan mm ni isidingo na taarifa ya habari tu
eh nliangalia,naona watu wanazozana zozana nkawa najiuliza walikua wana act au?kifupi sikuelewa maybe niangalie marudio tena
anzisha cha kwako chenye ubora na kisichoboa.