SHow ya Wema sepetu. EATV

SHow ya Wema sepetu. EATV

inatokea mara chache sana kwa selebriti wa kitanzania kusifiwa na watanzania wenzake
 
inatokea mara chache sana kwa selebriti wa kitanzania kusifiwa na watanzania wenzake

Hapana penye ukweli lazima raia waongee. Mbona diary ya lady jay dee watu tunakiangalia na kipo safi? Wema mbwembwe nyingi!
 
inatokea mara chache sana kwa selebriti wa kitanzania kusifiwa na watanzania wenzake

Ayah nikuulize uliangalia kipind cha jana? Ulielewah? Hapo walikuwa wana shot scne au?? Mbona show ya Jay de watu hatuongei saana? Mara mia niangalie JAMBO NA VIJAMBO inayoelimisha
 
cha jana sijaangalia
ila niliangalia cha mwanzo..marudio yake lini ?
Ayah nikuulize uliangalia kipind cha jana? Ulielewah? Hapo walikuwa wana shot scne au?? Mbona show ya Jay de watu hatuongei saana? Mara mia niangalie JAMBO NA VIJAMBO inayoelimisha
 
Mimi hizi tv za Tanzania mimi huwa naangalia taarifa za habari tu basi labda na comedy tu, mengine uzushi mtupu.

Afadhali wewe unaangalia na iyo comedy yan mm ni isidingo na taarifa ya habari tu
 
Ki ukweli show inabore sijui mbeleni labda kitaeleweka!
 
Ki ukweli show inabore sijui mbeleni labda kitaeleweka!
 
inatokea mara chache sana kwa selebriti wa kitanzania kusifiwa na watanzania wenzake

Angekuwa selebriti wa taifa lingine ungeona sifa kemkeme hapa. Go go go go my girl Wema, umethubutu songa mbele.Wamgapi wameshindwa hata kuthubutu kufunga ice cream wauze sembuse kuandaa kipindi chako mwenyewe. Umejitahidi mdogo wangu.
 
Anzisha cha kwako chenye ubora na kisichoboa.
 
Rado kaenda oficn kamera zpo.kwa wema kamera zpo.lidaz club kamera zpo,chumbani amelala anamulikwa na kamera,kama si maigzo ni nini basi!
 
eh nliangalia,naona watu wanazozana zozana nkawa najiuliza walikua wana act au?kifupi sikuelewa maybe niangalie marudio tena

hata usiangalie hutaelewa! Eti yale yalikuwa yanatokea live!
 
Wema Sepetu. Kipindi hakina ubunifu kabisa. Ila jamani huyu dada ukitoa kujichubua kwake, ukikutana nae usisikilize sauti yake! Ni kama mbwa kwa chatu. Wizi wiziiiii lazma uingie kingi.
 
Wema mzuuuuri....with or without make ups and accesories....
 
....Na show ni nzuri kwa kuondoa stress.....Dramaaaaaaaz...I like it!
 
Back
Top Bottom