Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

Kwa music upi wa Zuchu wakujaza Watu kwenye show? Hiyo kudandiana na Diamond au Sukari na nakupenda Mimi!;Arudi tu aje atuimbie huku Buza Kwa lulenge.
 
Shida kubwa ni kujiweka kutaka kutembelea jina la muntu.. angeandika ametambuwa kuwa na mahusiano na mtu.. haimaanishi una muvuto.. ujumbe wake ni kutafuta huruma.. hii haifanyi kazi duniani kama nyota hauna.. hata iweje..
 
Anaacha kupiga shoo hukj Mtwara, Lindi, Manyara, Ruvuma, Songwe nk ambako anafahamika na kukubalika vyema halafu anakwenda huko Marekani ambako hawana shobo naye, show idode halafu ashangae.
Atulie sasa.
Wanachaji malipo makubwa ili itoshe kulipa mshahara kina mkubwa fela, tale nk plus 60% ya Asake wa Tandale.
 
Nguvu ya watz bado ni ndogo kimataifa.
Ni diaspora ndio wanajenga base ya watu wetu wakienda nje. Hatuna diaspora wa kutosha nje ambao ingeweza kuleta nguvu ya kusukuma hamasa. Lugha nayo ni ishu nyingine. Tukomae humuhumu Central & East.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…