Show ya Zuchu yadoda Houston USA, yeye alia, huku Diamond akiua Melbourne Australia

We hujui kiingereza. That's why you think that lady can speak english. She can't speak english. Perhqps some shit only which you think it is english. When you learn english you will understand that "she can't speak nothing"
 
Hii english imekwenda shule
 
Mbona anamtaja Yarabi kwenye mambo ya ushwetani wake, ye angepiga kimya tu
 
Hata apige Show 100000 .. Asilimia kubwa zinaenda kwa Boss wake... Yeye anabaki na Hela za Kula na Kulala

Wasanii wa Wasafi Hakuna Wanaojitamba Kumiliki Vitu vyao Zaidi ya Kumilikishwa tu na Wasafi na Wajitoa wanaanza Upya
Ndo music industry
 
tena huyu demu analiwa kingono na kimaslai pia. Siku nyege za simba dume zikiisha na muziki kwisha, akiwa mjanja ategeshe kama wenzake Ili aje aambulie child support.
Ananyonywaa burudani na jasho lake pia
 
We hujui kiingereza. That's why you think that lady can speak english. She can't speak english. Perhqps some shit only which you think it is english. When you learn english you will understand that "she can't speak nothing"
Nimesema somehow , na nikasema kibongo bongo , haya wewe unayejua fluent English imekusaidia nn , Acha kuvunga
 
Kwanza ncheke 😂😂 anayemsahihisha mwenzake naye tukifanya ukaguzi tunakutana na nyanjo za kutosha.
 
Kama namuona [emoji849]zawadi vipochi vijuice vipipi nazimic chocolate nimekoma dear[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nimesema somehow , na nikasema kibongo bongo , haya wewe unayejua fluent English imekusaidia nn , Acha kuvunga
Hujui maisha yangu bob. Unatuona humu tuna enjoy life. Na haturushi picha za maisha yetu. Mimi maisha yangu naweza nisifanye kazi miaka 40 kuanzia sasa na nikawa na pesa ya Fuel, Starehe na kusafiri nje ya nchi mara mbili kwa mwaka. Ni Chizi Maarifa kweli kweli. Usione tupo tu humu tunachanganyika na watu wote. Ni maisha tu ndugu yangu. Siwezi kukwambia nina nini na nini.
 
Zuchu- saivi Yuko busy chumbani kwake analia kwi! Kwi! Kwi!.
Btw, asife moyo ajitahidi Sana mpaka pale atakapomudu kujaza kumbi za majuu.
Siku ajijaza ukumbi huko marekan njoon mnikate masikio niko pale[emoji117][emoji117][emoji117]
 
Kwanza ncheke 😂😂 anayemsahihisha mwenzake naye tukifanya ukaguzi tunakutana na nyanjo za kutosha.
Nlidhani ungeweka hapa ambacho kimekosewa. Unadhani watu wanakosoa kiingereza kwa style yako hiyo wanayoielewa? Hebu rekebisha hapa then mimi nikupe darasa bure. Hizi lugha 4 hapa hutoki.

1. English
2. Swahili
3. Chinese
4. Spanish
 
We vunga tu ndugu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…