Shughuli imemalizika pale Qatar, Argentina ya Lionel Messi inaenda kubeba Ubingwa wa Dunia 2022

Shughuli imemalizika pale Qatar, Argentina ya Lionel Messi inaenda kubeba Ubingwa wa Dunia 2022

Uchawa umekujaa. Wameangalia Utaifa wao na asili yao. Wala siyo ubaguzi .
Tupunguze hisia za Uchawa.
Acha upuuzi, sio kila anayeshabikia morocco ni mwarabu au muislamu. Tuache itikadi binafsi kwenye michezo.

Umewahi kuwaza madhara ya timu kama ya Brazil kusema ushindi wao ni kwa ajili ya wakatoliki?

Kwani mashabiki tunafuata itikadi za dini michezoni?
 
Wao washasema hivyo, we unaumia nini??

Ulitaka uambiwe ni ushindi wa bara la africa?

Sijataja udini lakini tambua Morocco ni taifa la kiislamu. Usishupaze sana kusikia hivyo.

Hata kina Neur tunawashangilia lakin hawatukubali
 
Ticket iliyowapeleka huko WC ni ya wapi kama si Africa ?! Wangeenda kwa Ticket ya bara Asia nani angewa mind ?.

Timu za Africa nyingi zinailemea hiyo Morocco. Na wao wanajua
Kwa hiyo Uingereza waishangilie Ureno kisa ni Euro wote?

Tuandae timu zetu, uchawaa huu upo Africa tu..
 
Argentina itwae kombe la dunia kwa heshima ya messi, mbape wa ufaransa bado ana nafasi ya kucheza kwenye fainali zijazo huko canada na marekani. Messi anastaafu soka kwa heshima kubwa
 
Dembele nini????,umesema?.....eti?.......
Style ya Morocco haina utofauti mkubwa na Argentina. Wote wanaruhusu uwafikie langoni mwao kisha wakupoke mpira na wafanye counter attack.

Jana Ufaransa alikuwa anapigwa hata goli 5 au 6, hii ilitokana na ubutu wa umaliziaji ndani ya box kwa Morocco. Kwa namna hii, kwa defence hii ya France, kwa mids zile za Ufaransa. Sijui nisemeje.

Messi ashuke chini kusaidia viungo wa Argentina. Wale madogo wawe wanapanda juu punde Messi anapokuwa na mpira, sioni kama Ufaransa itapona. Argentina akiwa karibu na box au akiwa ndani ya Box ni hatari saaaana.

Karata pekee ambayo France anayo ni kumtengenezea mazingira mazuri Mbape. Dembele ana kasi ila hana madhara makubwa, Griezmann ni wa kawaida kwa soka la sasa, hawa wanaweza wakakabika ila Mbape ni kipengele.

Binafsi karata yangu naitupa kwa Argentina japo lolote laweza kutokea.
 
France Kama wataziba nafasi gemu itakuwa ngumu Sana anatakiwa awepo kiungo mmoja mgumu WA kuweza kutembea eneo kubwa mana mbape huwa harudi kukaba
 
Wao washasema hivyo, we unaumia nini??

Ulitaka uambiwe ni ushindi wa bara la africa?

Sijataja udini lakini tambua Morocco ni taifa la kiislamu. Usishupaze sana kusikia hivyo.

Hata kina Neur tunawashangilia lakin hawatukubali
Kauli sahihi ilitakiwa kusema wanawashukuru watu wote wanaowaunga mkono na kuwashabikia duniani kote.
 
Argentina itwae kombe la dunia kwa heshima ya messi, mbape wa ufaransa bado ana nafasi ya kucheza kwenye fainali zijazo huko canada na marekani. Messi anastaafu soka kwa heshima kubwa
Mkuu lazima Argentina wagangamale kweli kweli maana hakuna huruma uwanjani. Wengi tunataka Messi apate hilo kombe lakini haitakuwa free, lazima vita ipiganwe.
 
Saivi umri umepunguza makali yake so inawezekana kumkaba. Mbape bado umri mdogo.
Wale wote waliotangulia kumkaba Messi na wakashindwa ina maana Messi umri wake ulipunguzwa?

Mchezaji anaweza akawa mkubwa hana speed ila akawa na vision, na hiki ndicho kitu kikubwa kinachofanya kocha ampe namba nani.

Messi has a vision, na speed yake sio ndogo kama ambavyo tunavyoweza kufikiri.
 
Argentina itwae kombe la dunia kwa heshima ya messi, mbape wa ufaransa bado ana nafasi ya kucheza kwenye fainali zijazo huko canada na marekani. Messi anastaafu soka kwa heshima kubwa
Niliwahi kusema hata akina Mbappe ambao wamewahi kubeba hili kombe, ninaamini wanatamani kumpa heshima ya mwisho Messi atwae hili kombe.
 
Back
Top Bottom