Shughuli imemalizika pale Qatar, Argentina ya Lionel Messi inaenda kubeba Ubingwa wa Dunia 2022

Shughuli imemalizika pale Qatar, Argentina ya Lionel Messi inaenda kubeba Ubingwa wa Dunia 2022

Usisahau kuwa juzi wafaransa walikuwa wanaomba apite Croatia

Hii fainali haitabiriki ila nitafurahi zaidi iwapo Messi atastaafu na kombe la dunia ili siku moja nitakapokuwa nimekaa na wajukuu zangu nikiwasimulia juu ya hiki kiumbe maswali kutoka kwao nitayajibu kwa ufasaha zaidi iwapo akibeba hili kombe
ASANTE MESSI
ASANTE MESSI
WAKOLA MUNO TA MESSI
KAZI YA KUHADITHIA WAJUKUU ZANGU ULICHOTUFANYIA WANAFAMILIA WA FOOTBALL UMEIRAHISISHA SANA

KASINGE MUNO
 
Usisahau kuwa juzi wafaransa walikuwa wanaomba apite Croatia

Hii fainali haitabiriki ila nitafurahi zaidi iwapo Messi atastaafu na kombe la dunia ili siku moja nitakapokuwa nimekaa na wajukuu zangu nikiwasimulia juu ya hiki kiumbe maswali kutoka kwao nitayajibu kwa ufasaha zaidi iwapo akibeba hili kombe

Na tumelibeba kamanda, ufaransa hawana ubavu wa kupambana nasi🇦🇷 level yao ni England na Portugal...
 
Mkuu usiongee sana, kuna watu walisema Uingereza au Brazil anachukua Kombe Ila wapo nyumbani sasa wanaendelea na Ujenzi wa mataifa yao. Hili kombe halina mwenyewe safari hii!

Since mwanzo ilijulikana tu wanaume wanabeba ndoo... kwa ubora wao why wasibebe!

Ahsante sana Messi kuwatandika hao
wafaransa weusi

🇦🇷🏆🏆🏆💪🏽
 
France inapokuwa na mpira, inaweza ikamtazama dembele, griezmann n.k ili timu iende kushambulia au itengeneze goli.

Kwa Argentina haipo hivyo, timu haiwezi kufanya shambulizi endapo Messi hayupo kwenye zone ya kutengeneza goli.

Usifikiri ni wajinga kumtegemea sana jamaa ila wanajua kabisa ukiwa na Messi, ni sawa kuwa na viungo kama akina Modric 3 na mshambuliaji mmoja kama Aguero.

Messi ni hatari saaana.

Wewe ni zaidi ya mchambuzi.. unafaa kuwaelimisha wasioelewa haya mambo.. ahsante kamanda wangu
 
Nimeanza kumfahamu dembele kitambo sana mpaka sasa ambapo yupo Barca. Nenda jukwaa la Barca utankuta toka 2011, sijui kama tayari ulikuwa JF.

Game za Dembele nazifahamu, Griezmann toka yupo sociedad namfahamu mpaka anaenda atletico then Barca, anarudi tena Atletico. Nilisema awali, kipengele pekee ambacho Argentina anacho ni Mbappe tu.

All in all, hakuna mchezaji bora toka soka lianze kama Lionel Messi.
Mkuu kwenye ule Uzi wa World Cup kuna wacha MBUZI kama Scars na wenzake hebu kawape shule kidogo
 
Zile kosakosa za Morocco jana angekuwepo Alvarez na Messi walikuwa hawakuachi pale.

Na mimi nilikua nasema hayo.. wangelikua na Messi and Alvarez, Ufaransa wangepigwa goli nyingi sana..
 
Niko pamoja na Africans United in Europe "Les Bleus" na hakika tutawafanya hamna hao Argentina

ARGENTINA sio England wala Morocco..mmekutana na mafundi wakina Messi, Alvarez, Enzo na Di maria..so, mngewezaje kuwaondoa! Safi sana Argentina kunipigia hao..
 
Back
Top Bottom