Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kafunga hattrick lakini kombe anainua Messi.Mpira unaangalizia Livescore mjomba? View attachment 2447384
Unaweza kurudi hapa kidogo?
Mbappe kamfunika MessiNaomba updates.
Nimeanza kumfahamu dembele kitambo sana mpaka sasa ambapo yupo Barca. Nenda jukwaa la Barca utankuta toka 2011, sijui kama tayari ulikuwa JF.Dembele nini????,umesema?.....eti?.......
Ulitabili vizuri/Style ya Morocco haina utofauti mkubwa na Argentina. Wote wanaruhusu uwafikie langoni mwao kisha wakupoke mpira na wafanye counter attack.
Jana Ufaransa alikuwa anapigwa hata goli 5 au 6, hii ilitokana na ubutu wa umaliziaji ndani ya box kwa Morocco. Kwa namna hii, kwa defence hii ya France, kwa mids zile za Ufaransa. Sijui nisemeje.
Messi ashuke chini kusaidia viungo wa Argentina. Wale madogo wawe wanapanda juu punde Messi anapokuwa na mpira, sioni kama Ufaransa itapona. Argentina akiwa karibu na box au akiwa ndani ya Box ni hatari saaaana.
Karata pekee ambayo France anayo ni kumtengenezea mazingira mazuri Mbape. Dembele ana kasi ila hana madhara makubwa, Griezmann ni wa kawaida kwa soka la sasa, hawa wanaweza wakakabika ila Mbape ni kipengele.
Binafsi karata yangu naitupa kwa Argentina japo lolote laweza kutokea.
Wewe moyoni unaona nani alistahili huyo tuzo kati ya Mbappe na Messi?Kamfunika kwa lipi? Mbona tuzo ya mchezaji bora kapewa Messi?
Messi anastahili.Wewe moyoni unaona nani alistahili huyo tuzo kati ya Mbappe na Messi?
Mtanisamehe wakuu, nilichogundua messi anakubalika zaidi kwa wanawake [emoji126][emoji126][emoji126] na watu wafupi [emoji144][emoji144][emoji144]Mbappe heko sana.
Don't worry wachezaji wako wamekuangusha kwenye penalty