Acha upuuzi, sio kila anayeshabikia morocco ni mwarabu au muislamu. Tuache itikadi binafsi kwenye michezo.Uchawa umekujaa. Wameangalia Utaifa wao na asili yao. Wala siyo ubaguzi .
Tupunguze hisia za Uchawa.
UFINYU WA KIFIKRA HUU. Negro diseaseNiko pamoja na Africans United in Europe "Les Bleus" na hakika tutawafanya hamna hao Argentina
Wao washasema hivyo, we unaumia nini??Acha upuuzi, sio kila anayeshabikia morocco ni mwarabu au muislamu. Tuache itikadi binafsi kwenye michezo.
Umewahi kuwaza madhara ya timu kama ya Brazil kusema ushindi wao ni kwa ajili ya wakatoliki?
Kwani mashabiki tunafuata itikadi za dini michezoni?
Wafaransa wagumu Sana, hakuna mwenye uhakika Nani atakuwa bingwa...wao Argentina walikuwa wanaomba Morocco ashinde jana
Kwa hiyo Uingereza waishangilie Ureno kisa ni Euro wote?Ticket iliyowapeleka huko WC ni ya wapi kama si Africa ?! Wangeenda kwa Ticket ya bara Asia nani angewa mind ?.
Timu za Africa nyingi zinailemea hiyo Morocco. Na wao wanajua
Vipi kumkaba Messi, ni rahisi?Ni ngumu sana kumkaba Mbape. France anachukua back to back.
Saivi umri umepunguza makali yake so inawezekana kumkaba. Mbape bado umri mdogo.Vipi kumkaba Messi, ni rahisi?
Nakubali lolote laweza kutokeakutabili matokeo ni ngumu sana timu zote mbili ziko vizuri.
Style ya Morocco haina utofauti mkubwa na Argentina. Wote wanaruhusu uwafikie langoni mwao kisha wakupoke mpira na wafanye counter attack.
Jana Ufaransa alikuwa anapigwa hata goli 5 au 6, hii ilitokana na ubutu wa umaliziaji ndani ya box kwa Morocco. Kwa namna hii, kwa defence hii ya France, kwa mids zile za Ufaransa. Sijui nisemeje.
Messi ashuke chini kusaidia viungo wa Argentina. Wale madogo wawe wanapanda juu punde Messi anapokuwa na mpira, sioni kama Ufaransa itapona. Argentina akiwa karibu na box au akiwa ndani ya Box ni hatari saaaana.
Karata pekee ambayo France anayo ni kumtengenezea mazingira mazuri Mbape. Dembele ana kasi ila hana madhara makubwa, Griezmann ni wa kawaida kwa soka la sasa, hawa wanaweza wakakabika ila Mbape ni kipengele.
Binafsi karata yangu naitupa kwa Argentina japo lolote laweza kutokea.
Kauli sahihi ilitakiwa kusema wanawashukuru watu wote wanaowaunga mkono na kuwashabikia duniani kote.Wao washasema hivyo, we unaumia nini??
Ulitaka uambiwe ni ushindi wa bara la africa?
Sijataja udini lakini tambua Morocco ni taifa la kiislamu. Usishupaze sana kusikia hivyo.
Hata kina Neur tunawashangilia lakin hawatukubali
Mkuu lazima Argentina wagangamale kweli kweli maana hakuna huruma uwanjani. Wengi tunataka Messi apate hilo kombe lakini haitakuwa free, lazima vita ipiganwe.Argentina itwae kombe la dunia kwa heshima ya messi, mbape wa ufaransa bado ana nafasi ya kucheza kwenye fainali zijazo huko canada na marekani. Messi anastaafu soka kwa heshima kubwa
Kama ni kweli, basi wasiende uwanjaniNinaamini hata akina mbape, dembele n.k wanatamani kumuona Messi akinyanyua hii ndoo.
cyo lazima. ni mtazamo tuKauli sahihi ilitakiwa kusema wanawashukuru watu wote wanaowaunga mkono na kuwashabikia duniani kote.
Wale wote waliotangulia kumkaba Messi na wakashindwa ina maana Messi umri wake ulipunguzwa?Saivi umri umepunguza makali yake so inawezekana kumkaba. Mbape bado umri mdogo.
Niliwahi kusema hata akina Mbappe ambao wamewahi kubeba hili kombe, ninaamini wanatamani kumpa heshima ya mwisho Messi atwae hili kombe.Argentina itwae kombe la dunia kwa heshima ya messi, mbape wa ufaransa bado ana nafasi ya kucheza kwenye fainali zijazo huko canada na marekani. Messi anastaafu soka kwa heshima kubwa