Shughuli imemalizika pale Qatar, Argentina ya Lionel Messi inaenda kubeba Ubingwa wa Dunia 2022

ASANTE MESSI
ASANTE MESSI
WAKOLA MUNO TA MESSI
KAZI YA KUHADITHIA WAJUKUU ZANGU ULICHOTUFANYIA WANAFAMILIA WA FOOTBALL UMEIRAHISISHA SANA

KASINGE MUNO
 

Na tumelibeba kamanda, ufaransa hawana ubavu wa kupambana nasiπŸ‡¦πŸ‡· level yao ni England na Portugal...
 
Mkuu usiongee sana, kuna watu walisema Uingereza au Brazil anachukua Kombe Ila wapo nyumbani sasa wanaendelea na Ujenzi wa mataifa yao. Hili kombe halina mwenyewe safari hii!

Since mwanzo ilijulikana tu wanaume wanabeba ndoo... kwa ubora wao why wasibebe!

Ahsante sana Messi kuwatandika hao
wafaransa weusi

πŸ‡¦πŸ‡·πŸ†πŸ†πŸ†πŸ’ͺ🏽
 

Wewe ni zaidi ya mchambuzi.. unafaa kuwaelimisha wasioelewa haya mambo.. ahsante kamanda wangu
 
Mkuu kwenye ule Uzi wa World Cup kuna wacha MBUZI kama Scars na wenzake hebu kawape shule kidogo
 
Zile kosakosa za Morocco jana angekuwepo Alvarez na Messi walikuwa hawakuachi pale.

Na mimi nilikua nasema hayo.. wangelikua na Messi and Alvarez, Ufaransa wangepigwa goli nyingi sana..
 
Niko pamoja na Africans United in Europe "Les Bleus" na hakika tutawafanya hamna hao Argentina

ARGENTINA sio England wala Morocco..mmekutana na mafundi wakina Messi, Alvarez, Enzo na Di maria..so, mngewezaje kuwaondoa! Safi sana Argentina kunipigia hao..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…