Shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

Unaposema lala salama, RIP, pumzika kwa amani n.k haifanyi mabadiliko yoyote ya hukumu yake mbele ya Mungu.

Baada ya kifo ni hukumu, apandacho mtu ndicho avunacho, ukipanda mema utavuna mema, ukipanda mabaya utavuna mabaya.
Enyi watu! Kwa hakika tumekuumbeni (nyote) kwa (yule) mwanaume (mmoja, Adamu) na yule yule) mwanamke (mmoja Hawaa). Na tumekufanyeni mataifa na makabila (mbalimbali) ili mjuane (tu basi, siyo mkejeliane). Hakika aheshimiwaye sana miongoni mwenu mbele ya Mwenyezi Mungu ni yule ambaye mcha Mungu zaidi katika nyinyi. Kwa yakini Mwenyezi Mungu ni Mjuzi, Mwenye habari (za mambo yote)". (49:13).
 
Lowassa alikua na tamaa alafu mjeuri sana + madharau mob
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…