Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Khaaaa Mungu anasingiziwa na mengi jmnHakuna mnafiki, kama umemsikiliza Warioba vizuri amesema Lowasa aliwekewa vikwazo na mowamo wa kuwa rais hata na baba wa taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mungu hakutaka Lowasa awe rais, hivyo hawa akina Nyerere na Kikwete walitumika tu.
Ni ujinga kumlaumu Yuda kwa kumsaliti Yesu wakati ilikuwa ni mpango wa Mungu.
Sema wewe mkuu.Khaaaa Mungu anasingiziwa na mengi jmn
Mungu ?!! Mna uhakika?
Noma sanaSema wewe mkuu.
Mimi nimesoma nikajiambia "Kiranga, tuko msibani hapa, usianze mambo yako yale".
RIP Baba Cadet.
Hapana mkuu, niko mbali sana. USA.Noma sana
🤣🙌
Mkuu upo eneo la tukio? Hivi mwakyembe anaon kana hapo?
Maana Kila nikifuatilia matukio simuoni🤷
Ukizungumzia waasisi wa UFISADI ndani ya Taifa la Tanzania, huwezi kuacha kumtaja marehemu.
Apumzike panapostahili.
Sasa hivi hata ukiweka Mbuzi au Bata agombee na Mgombea wa CCM, Mgombea wa CCM atashindwa tu.EL ali prove kwamba yeye ni zaidi ya CCM kwa kushinda uchaguzi Mkuu 2015.
Dola ikagoma kumtangaza..lakini sisi watanzania tunajua kwamba Rais wa Tanzania 2015 alikuwa Edward Lowassa baada ya kushinda uchaguzi Mkuu.
Mimi Huwa nawa ambiaga watu ukimkuta mwanaume hajawai kutumia kilevi chochote basi mwanaume huyo hajawai kuishi....Siyo kwa uwezo ama matakwa yake, bali ni kwa kudra za aliye juu. Maana Warioba ni mlevi wa kutupwa wa pombe kali.
Ni ufisadi wa serikali ya CCM chini ya kiongozi ambaye ni raisi wa JMT.Okay 👍 nimejiongeza mkuu.
kuwa ufisadi wa Richmond, IPTL, escrow kuwa ni ufisadi wa Rais JMT
Okay , comment yako nikahisi umerudi bongo nini😅Hapana mkuu, niko mbali sana. USA.
Wanasiasa wasivyo na aibu, usishangae ukimuona Mwakyembe naye kashika mic anaomboleza kifo cha kiongozi mahiri Tanzania.
Msiba wa Mzee Lowassa umenikumbusha mbali sana.
Shule ya msingi, alikuwa ni kati ya wazazi waliokuwa wanakuja sana shuleni kufuatilia elimu ya watoto.
Kabla ya siasa hapo.
Alikutana sana na rafiki yake mwalimu Ndosi. Sasa Ndosi katangulia na Lowassa kafuata.
Alivyoingia kwenye siasa na kuhimiza mambo ya elimu nilijua huyu baba anamaanisha kutoka moyoni, haya si maneno ya siasa tu.
Kwa sababu nilimuona alivyokuwa anafuatilia elimu kabla hata hajaingia kwenye siasa.
Mi nimesikiliza warioba kaongea kule karimjee, nimemuelewa...Wala hajapepesa macho ...Mbona sasa mnatuchanganya tuliambiwa JK na ENL 1995 walikuwa na lengo moja la kuunda team ya kushinda Urais, sasa imekuwaje Lowassa awe na kinyongo Jina lake kutofika CC wakati swahiba wake alifika hadi tatu bora za 1995.
Yaani nimesikiliza,duh🙌😥Mimi Huwa nawa ambiaga watu ukimkuta mwanaume hajawai kutumia kilevi chochote basi mwanaume huyo hajawai kuishi....
Msibani Kwa ENL mzee warioba kaongea Kweli tupu Yani Punch after punch mzee ni mtu mkweli na mjenga hoja mzuri sanaa
Mzee warioba ni hazina Kwa taifa
Natamani sana ningekuwapo ningemuona Fredrick. Wenzangu wamekwenda ila mimi umbali tu.Okay , comment yako nikahisi umerudi bongo nini😅
Nimekusoma👍
Uko sahihi wanasiasa ni wanafiki jmn mpk sio poa 🙌🙌
Halewi, (🤣)havuti sigara, sio mlafi wa vyakula wala vyeo, hachepuki, hadhulumu etc; lazima awe fit. Na kwa ile rasimu, Mungu ataendelea kumbariki.Warioba jamani bado yuko fit kabisa, Mzee anaonekana amejilinda sana afya yake.
Pole brother KirangaNatamani sana ningekuwapo ningemuona Fredrick. Wenzangu wamekwenda ila mimi umbali tu.