Shughuli ya kuaga mwili wa Hayati Edward Lowassa Viwanja vya Karimjee Dar es Salaam

Yule chifu,,usimchukulie kitoto amezaliwa mjini busara na hekima nyingi lakini ni mafia wewe muone akicheka cheka ukajua NI boya Fulani,,weka mbali na watoto,,Kagame wa demokrasia(Kisasa) achana na yule Kagame wa rwanda dikteta.
Wamesharudisha baada ya hutuba ya jakaya kupitia Je , ni Bahati mbaya AU walipanga iwe hivyo
 
Kweli,
msiba ni wataifa....mzee warioba nimependa speech yake kuzungumza vizuri sana..
Mzee Warioba is a "by the book" kind of guy. Stand up guy. Hapendi longolongo.

Ndiyo maana kasema ukweli kuhusu Lowassa bila aibu.

Alivyokuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Waziri wa Sheria, Nyerere alimuamuru amkamate na kumfunga mtu fulani ambaye alikuwa kaachiwa na mahakama, kwa kosa lile lile.

Warioba akamwambia Nyerere hilo jambo kisheria haliwezekani.

Nyerere akamuuliza, kwa nini?

Warioba akajibu kuwa, huyu mtu mahakama imeshamuachia, hawezi kukamatwa kwa jambo lile lile, hiyo ni "double jeopardy". Kisheria ni kosa.

Nyerere kila akitaka kubisha, Warioba anamletea vifungu vya sheria tu.

Mwishowe Nyerere akakubali kushindwa.

Wanasema Nyerere haambiliki, lakini kwa Warioba kwenye sheria alikubali kufunga breki mwenyewe.

Halafu hapo ndiyo ana heshima kweli kweli kwa rais. Ila kwenye facts hakutaka kupindisha.

Huyo ndiyo Warioba.
 
Ukizungumzia waasisi wa UFISADI ndani ya Taifa la Tanzania, huwezi kuacha kumtaja marehemu.

Apumzike panapostahili.
Sasa hivi yeye mpambanaji tena wabongo ni watu waovyo sana bure kabisa...yaani takataka
 
Kauli ya Warioba kuwa lowasa alikuwa na uchungu sana baada ya kuambiwa Nyerere ndiye alizuia urais wake 1995 imenifikirisha mengi kuhusu ugonjwa na kifo cha Nyerere.
Wabongo bhana....

Nyerere alikuwa binadamu pia, kuugua na hata kufa hakukwepeki kwa wanadamu.
 
Kamati kuu ya ccm Mungu ni memba?usije na we ukawa unamdhania jk ni Mungu.. 😂
Kwahiyo Edo alikatwa na Kamati Kuu, siyo JK. Sasa kwann alaumiwe JK?

Kwa taarifa yako Mungu hutenda kazi zake kupitia wanadamu.
 
R.I. P kiongozi wetu
 
1.Dr Tulia Akron. 2.Dr Slaa 3.Wazir mkuu wa, Mkapa Sumae 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…