Shughuli yote nzuri ya kilele Cha Simba day imetiwa dosari na uletaji wa jeneza uwanjani

Ukute huyo askofoli ni uto,mbona halaani ushoga na kulawitiwa kwa watoto na mapadri wa kanisa lake
 
Subiri tu kumwagiwa mrembo wa pori
Nawee unavomwagiwa uji wa lishe mzito, ndo unakuwa km mwehu hivi?? Poleeeeee sanaaaa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huyo Askofu atakuwa Yanga, anadhihakiwa Yesu halalamiki. Jeneza na msalaba haukudhihakiwa hapo na wala si mara ya kwanza jeneza na msalaba kufanyiwa sanaa za maigizo.

Atupishe huko.
Huyu Askofu wa michongo alikula hela ya escrow,hana moral authority ya kukemea lolote. Mbona Yanga yake hakuikemea hapa
 

Attachments

  • FB_IMG_1660058850277.jpg
    41.8 KB · Views: 5
Imenikumbusha machungu makuu.. Hadi furaha ya simba ya day ikatoweka...

Hawa wasanii hizi content zao ziwe zinahakikiwa na watu wenye akili timamu

Uliteseka sana ukute[emoji23]pole mkuu hamna namna
 
Huwa mnaanza hivi hivi! Mwisho wa siku mnaishia kupigwa faini na CAF kwa sababu za kishirikina. Ikiwapendeza, mkubali tu kubadilika.

Acheni uswahili.

Ko jeneza ni ishara ya ushirikina mkuu???Hv hujawahi ona mashabiki wa tim zote mbili wanaingia na kajeneza uwanjani kama utani..uspaniki mkuu maisha hayataki usiriazi kila mahali
 
Spritually Simba kuingia na Jeneza ndani ya uwanja likiwa na shabiki waondani Ni ishara mbaya kwso. Kifupi wamejizika kaburini

Hiyo wewe ndo umesema?nandy kaligraph jones na g nako washawahi ku shoot video waliwa ndani ya jeneza vp walijizika?acha ushamba jeneza ni mbao tu
 
Khaaaaaaaaah, sasa jeneza ni ushirikina??? Serious??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unavurugwa vibaya siku hizi. Umepatwa na nn??

Byuti byuti

Ako na stress za waganda kuwanyuka kwenye siku yao...
 
Aibu???!!?! Ule ni ushenzi, upumbavu na ujinga ambao siyo rahisi kuuelezea....Siyo suala la jeneza tu Bali hata ule msalaba ni kebehi, dharau na kejeli kubwa kwa Wakristo....ni ushenzi na upumbavu wa kiwango Cha juu kabisa...

Sawa yesu wasamehe
 

Huyo kilaini na uhakika atakuwa mchawi aneyetumia msalaba kumtia YESU aibu ..usiwaamini hao wanafiki hii ni sanaa tu
 
Zile ni mbao tuu mkuu...[emoji1][emoji1][emoji1]
 
Sijasikia Simba wakiomba radhi, kiustaarabu inabidi waombe radhi haraka watanzania.
 
Je hili tukio ni la kwanza ama lilishawahi kufanywa na wengine? Je waliomba radhi?
Huwezi kuhalalisha losa kwa makosa ya wengine.
Niljua tu hizi timu mbili zitaingia matatizo kwa kuingiza mambo yasiyo na staha na ujinga ulokithiri kuwafurahisha mashabiki wao.
Hawajui kuwa tupo tusio na uashabiki wowote na tunaona haya mambo kuwa ya kijinga sana.
 
Wenye akili tayari wameshachukuwa hatua. Hatuwezi kuendelea kufanya vitendo vya kijinga, tena vinavyoonyesha ukosefu wa adabu kwa dini za watu.
 

Attachments

  • FB_IMG_1660143861052.jpg
    22.8 KB · Views: 5
  • FB_IMG_1660058850277.jpg
    41.8 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…