Shughuli za kuandaa katiba ya EAC zaanza huku Tanzania ikiendelea kununa

Shughuli za kuandaa katiba ya EAC zaanza huku Tanzania ikiendelea kununa

Huu Uzi unazungumzia mchakato wa katiba ya Political federation, wewe unazungumzia political confederation, ndio Mara zote tukisema ninyi akili zenu ni ndogo sana huwa masema tunawadhalilisha.

Sikiliza wewe, Kenya can't survive in with out Tanzania due to the following reasons.
1) Viwanda vyenu Vingi vinategemea "raw materials" kutoka Tanzania, Pamba, katani, coal, karatasi. Matunda.
2)Chakula mnategemea Tanzania by 70%. Hapa sizungumzii mahindi na mchele pekee, sikiliza hapa uone ni kwa kiasi gani Kenya ilivyotegemezi kwa Tanzania.https://youtu.be/gr6AJR_Hsgc
3)Wakenya wamewekeza sana Tanzania, zaidi ya kampuni 500 Zaidi ya $1.5B. Hivi katiba imesaidia nini wanyama na hakuna hatua yoyote inayochukuliwa?
Acha ukasuku wako wewe, soma taarifa kwanza ndio uje na hizi porojo zako. Tafuta mtu wa kukutafsiria acha kujiabisha. Mada ni kuhusu political confedaration, federation ilitupiliwa mbali zamani sana.
 
Acha ukasuku wako wewe, soma taarifa kwanza ndio uje na hizi porojo zako. Tafuta mtu wa kukutafsiria acha kujiabisha. Mada ni kuhusu political confedaration, federation ilitupiliwa mbali zamani sana.
Pombavu wewe, soma huu Uzi unazungumza kuhusu katiba ya Political federation, akili zenu ni ndogo sana ninyi.
 
Wewe jamaa bana, mimi nakuletea makubaliano ya marais, ya mwaka wa 2017 kuhusu CONFEDERATION ya nchi za EAC. Wakati JPM alikuwa ndiye rais na wewe unaniletea video ya Kikwete akiongea kuhusu federation na sio confedaration. Hivyo ni vitu viwili tofauti. Nimeshakueleza yote kwenye post yangu iliyotangulia hii hapa. M7 pekee yake ndiye aliyekuwa anataka political federation, nadhani alikuwa na matumaini ya kuwa rais wa kwanza wa EAC. Kenya, Tz, Rwanda na Burundi wote walikataa. Alafu mimi pia sijaunga mkono hoja ya muungano wa kisiasa wa aina yeyote ile, iwe federation au confederation. Wakenya tulipofika sasa hivi kikatiba, kisiasa na kidemokrasia hatuna lolote la kufaidi kutoka kwa nchi yeyote nyingine ukanda huu. Nyinyi wote mnaongozwa kidekteta na kiubabaishaji wakati sisi tulishatoka huko zamani, tena kwa jasho na damu na hatuna hamu kabisa ya kurudi nyuma.

Onyesha wapi Kenya, Rwanda na Tanzania walikataa federation wakati hapa wanazunhumzia Federation. Ninyi wakenya mpo na matatizo ya akili sana. Huwa hamna uwezo wowote wa kufikiria badala yake unazungumza vitu kutoka Kichwani mwako, hovyo kabisa wewe jamaa. Ndio sababu njaa, ukabila na rushwa havitokwisha kutokana na akili zenu ndogo.
 
Huoni aibu kutumia toothpick na vijembe vya kenya...
Hamuwezi kwenda bila Tz?
Someone from kenya trying to call others lazy [emoji23][emoji23][emoji23] wakati kitunguu alichopikiwa nacho chakula kimetoka Tanzania.
Ninyi ni wapumbavu by nature na Nimegundua hamuwezi kunywa na kula bila kuitaja Tanzania maana mnaiogopa balaa.
Mngekua sio wazembe njaa isingekuwepo huko.
 
Kweli kabisa...mi ukizingua kazini ifikapo siku ya kikao nakuanika...mambo ni km hayo...waeza kuta jamaa ni msela wako mwacheka pamoja lkn kikaoni anaamua kuku kaanga kweupe mpka aibu nakwambia...then mkishatoka nje ukimuuliza jamaa yakwambia "kwn nilichokisema ni uongo, badilika bana tuchape kazi"
Ukiwa mzembe unasemwa tu, ndio desturi yetu hapa Kenya, haturembi wala kumumunya maneno, yaani nimewahi kumualika Mtanzania kwenye kikao cha Wakenya kazini, dah aliogopa sana maana humo tulikua tunaambiana kama ilivyo, baadaye sote tunakutana kunywa chai na kucheka.
Hata hapo Tanzania nimewahi kuwa kwenye kikao ambacho tulikutana Wakenya kila mmoja anawakilisha kampuni ya Kitanzania, aisei Watanzania walitushangaa sana, yaani kila kitu kinawekwa mezani, unaanikwa na kuambiwa wazi wazi udhaifu wako. Baada ya kikao sote tunapiga stori za kwaida na kucheka.
Tatizo ujamaa uliwaharibu sana nyie, ndio unaona hata spika wenu anavurugika kiakili kisa CAG amesema bunge lina udhaifu, hamjazoea kuambiwa na mtu asiye mnafiki.
 
Tatizo la huu muungano ni kwamba iliwekwa yaani taifa moja likinuna hairuhusiwi kwenda mbele, kwa kifupi taifa lolote lina uwezo wa kutukwamisha hata Burundi.
Sasa Tanzania kwa walivyo wavivu na wazembe wa kutupwa, wataishia kutuchelewesha tu maana hamna namna. Tutaishia kuwaburuza tu na uzembe wao.
We mbona unaandika kwa accent ya kibongo kabisa.... Acha kutuektia..... Wakenya wanajulikana...
 
Ukiwa mzembe unasemwa tu, ndio desturi yetu hapa Kenya, haturembi wala kumumunya maneno, yaani nimewahi kumualika Mtanzania kwenye kikao cha Wakenya kazini, dah aliogopa sana maana humo tulikua tunaambiana kama ilivyo, baadaye sote tunakutana kunywa chai na kucheka.
Hata hapo Tanzania nimewahi kuwa kwenye kikao ambacho tulikutana Wakenya kila mmoja anawakilisha kampuni ya Kitanzania, aisei Watanzania walitushangaa sana, yaani kila kitu kinawekwa mezani, unaanikwa na kuambiwa wazi wazi udhaifu wako. Baada ya kikao sote tunapiga stori za kwaida na kucheka.
Tatizo ujamaa uliwaharibu sana nyie, ndio unaona hata spika wenu anavurugika kiakili kisa CAG amesema bunge lina udhaifu, hamjazoea kuambiwa na mtu asiye mnafiki.

Pamoja na hayo yote unayodai ni uwazi ila kenya ndio nchi pekee ambayo kila kiongozi ni Mwizi na Wengi wao Ni drug dealers kama yule wa Nairobi,
Halafu 90% ya Viongozi wote wanatoka kabila moja,
Huo kuanikana imewasaidia nini?
Halafu sioni sababu ya wewe kuanika chuki zako dhidi ya burundi kwa kusema ni Wavivu na Masikini ikiwa kenya pia ni Masikini kama Burundi tu,
Hizo ni chuki za kikenya na hazikubaliki, Hata Walioendelea kama Uingereza hawawezi kuisema Burundi namna hiyo,
Sisi huku hatuishi kama wanyama the way you do,
Mjifunze ustaarabu mkiwa sawa mje tuyajenge. Simple.
 
Ndio lakini sio unawaambia wenzako subirini hapo nakuja kisha unajificha ficha, huo sio udume, piga kifua ngumi ambia wenzako naridhia muondoke wenyewe nitawafuata baadaye.

Kwani mnalazimishwa? Si muendelee na mambo yenu mazee[emoji2]
Au Njaa imewapanda Vichwani
 
Pamoja na hayo yote unayodai ni uwazi ila kenya ndio nchi pekee ambayo kila kiongozi ni Mwizi na Wengi wao Ni drug dealers kama yule wa Nairobi,
Halafu 90% ya Viongozi wote wanatoka kabila moja,
Huo kuanikana imewasaidia nini?
Halafu sioni sababu ya wewe kuanika chuki zako dhidi ya burundi kwa kusema ni Wavivu na Masikini ikiwa kenya pia ni Masikini kama Burundi tu,
Hizo ni chuki za kikenya na hazikubaliki, Hata Walioendelea kama Uingereza hawawezi kuisema Burundi namna hiyo,
Sisi huku hatuishi kama wanyama the way you do,
Mjifunze ustaarabu mkiwa sawa mje tuyajenge. Simple.

Hehehe!! Sijaona hata siku moja ukiandika zaidi ya sentensi moja kwa ulivyo mvivu, hongera naona imekugusa hadi umejitutumua na kuandika insha.
Ukweli unabaki pale pale kwa nilichokisema na nitakisema hadi mchana uishe kwamba nyie ni wavivu wa kutupwa kuleee na mumewaambukiza Warundi uzembe wenu huo.
Kuambiwa ukweli ndio hulka ya Kikenya, unaambiwa kama ilivyo hufichwi.
 
Heri uvivu kuliko kuwa na akili ndogo, huo ndio ukweli wa wakenya.
 
Ratiba imeanza ya uandaaji wa katiba ya EAC itakayotoa muongozo jinsi gani huu muungano utakavyokua, ila bado kuna changamoto maana Tanzania ambayo ni mshirika wa muungano imenuna kupita maelezo, imegoma kutuma wataalam wake kuhusika kwenye vikao, kama ilivyo kwa Tanzania kununia kila kitu.

Tatizo sio ruhusa kutengeneza katiba bila mshirika hata mmoja, hivyo inabidi tukwame na kucheleweshwa.
Hahahaaa! 😅😅😅 Kama nakuona vile ulivyonuna kwa kuwa Tanzania imenuna! 😂😂😂 Hata hivyo, kununa siyo jambo zuri...
 
Nilimwambia jana akishaacha chuki zake ndo aje kudai EA community.
Pamoja na hayo yote unayodai ni uwazi ila kenya ndio nchi pekee ambayo kila kiongozi ni Mwizi na Wengi wao Ni drug dealers kama yule wa Nairobi,
Halafu 90% ya Viongozi wote wanatoka kabila moja,
Huo kuanikana imewasaidia nini?
Halafu sioni sababu ya wewe kuanika chuki zako dhidi ya burundi kwa kusema ni Wavivu na Masikini ikiwa kenya pia ni Masikini kama Burundi tu,
Hizo ni chuki za kikenya na hazikubaliki, Hata Walioendelea kama Uingereza hawawezi kuisema Burundi namna hiyo,
Sisi huku hatuishi kama wanyama the way you do,
Mjifunze ustaarabu mkiwa sawa mje tuyajenge. Simple.
 
Wacha weeee!!!toothpick pia mnaagiza...tena unajipiga kifua..duh!!ldc bwana
Tunatumia toothpick kutoka China Sijawah kutana na ya kenya.
Mtu anaweza survive bila toothpick ila bila chakula hawezi.
 
Back
Top Bottom