Shuhuda: Chanzo cha moto soko la Karume ni mateja, waliangusha mshumaa wakati wanatengeneza mihadarati

tupe ushahidi how serikali imehusika au ndio ma speculation uonekane mjanja kijiweni
 
Na huyo shuhuda aliyeshuhudia hapo clouds, nae ni teja?
yeye sio teja ila ni mmoja wa watu walioenda kutoa msaada, naamini wkati wanafanya juhudi hizo ndio wakaambiwa na mateja kwamba mshumaa ulidondoka,inawezekana kabisa mateja walisinzia kidogo si unajua mambo ya kuranduka!!!
 
Kwahiyo hao mateja ni mataahira kiasi cha kutozima moto wa mshumaa waliouona ukidondoka tena wakiwa usingizini kwenye ndoto, ila bado huko huko ndotoni wakaweza kuuona ukidondoka na kuunguza soko, ila ni smart kiasi cha kuwaamini wanapotoa ushuhuda juu ya mshumaa na yeye akawaamini, si ndio? Kiasi hata kama hao mateja walipewa pesa kidogo by who knows who ili wakachome, hiyo shaka iondoke kabisa, tusitilie shaka maelezo yao, si ndio?
 
Sawa, lkn soko halina ulinzi? Moto, sababu ya giza usiku, rahisi kuuona
 
Kama inajulikana kuna mateja, na wanaachwa, kwanini tuwachangie sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…