Shuhuda: Chanzo cha moto soko la Karume ni mateja, waliangusha mshumaa wakati wanatengeneza mihadarati

Yani ww na professa Lipumba akili zenu nyote moja umeamu kuwasaliti wenzako kwa kipande cha mkate tu ulicho ahidiwa ndio maana nyinyi wa bongo hamuna uaminifu mbele ya utu muko kimaslahi kipesa
 
mishumaa ni hatari sana imeshasababisha majanga kama hayo mengi sana. ndio maana siku hizi wenye nyumba wengi wanapiga marufuku matumizi yas mishumaa baada ya koroboi za mchina kuwa nyingi
Mateja waliokokaj na ilikuwa mateja wakaondoka hawajazima moto ? je ndan ya soko kubwa km hilo mateja waliwezaj kuwepo muda wa saa 7 usiku ? je soko halina walinzi ?
 
....................ni type ya Yule mwandishi............
 
Wabongo tayari wanamajibu yao kutoka kwa wanasiasa....ukiwaaminisha vinginevyo hawawezi kukuelewa...
 
Mateja wanapiga kazi 24/7
 
yeye sio teja ila ni mmoja wa watu walioenda kutoa msaada, naamini wkati wanafanya juhudi hizo ndio wakaambiwa na mateja kwamba mshumaa ulidondoka,inawezekana kabisa mateja walisinzia kidogo si unajua mambo ya kuranduka!!!
Ishirikishe akili yako kdg , ni saa 7 usiku hlf upo zamu kulinda soko , na unaanzaj kuwaacha mateja waingie sokoni mida ya saa 7 ? sasa alikuwa analinda nn?
 
"Wakati moto unaanza nilikuwepo, Mimi ni moja ya Walinzi wa siku hiyo, sikuwa mbali na banda lililoanza kuungua niliitwa na kwenda kuanza kupambana kuzima moto, tulikata bomba la choo cha Halmashauri na kuchukua ndoo ili kuuzima japo ulituzidi nguvu"

"Chanzo cha moto ni Mateja ambao tupo nao sokoni Karume wanajihusisha na kuuza viatu, pale sokoni kuna moja ya banda ambalo wao wanalitumia kutengeneza mihadarati yao ambayo huwa wanatumia mishumaa kuitengeneza, mshumaa ulianguka na kuanza kuungua” ———Thomas via PowerBreakfast
 
Huyu katumwa kuvuruga ukweli. Mateja wanasingiziwa tu. Anapaswa kukamatwa kwa kuchoma soko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…