Imani rubaba
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 254
- 350
Mzee Sharif Kwezi kutoka Mwanza ni mmoja wa wafugaji wa ng'ombe wa maziwa walionufaika na mafunzo bora kutoka kwetu. Kwa sasa, anafuga ng'ombe 10 na hukamua mara 3 kwa siku, akipata takribani lita 214 za maziwa. Kwa bei ya 1,500 TZS kwa lita, anaingiza 321,000 TZS kila siku—zaidi ya milioni 9 kwa mwezi!
🚀 Huu ni ushahidi wa nguvu ya mafunzo sahihi na mifugo bora!
🎥 Tazama video HAPA
💡 Na wewe pia unaweza kufanikisha hili! Wasiliana nasi kwa mafunzo bora na upate ng’ombe wenye tija zaidi. 🐮✅ 0764 148 221