Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Yeaah nimeona ujumbe wako mzuri sana" Awali nilipsoma heading nilidhani kuwa umekuja kujitangaza kibiashara ili upate wakuwapiga". but baada ya kusoma article yote",.. nimejikuta na suuzika nafsi" ... by the way tunashukuru tumepata cha kujifunza",..
Na moja ya sababu ya kuandika huu ujumbe ni kuwa kwa kipindi chote nilitafuta ufumbuzi wa hospital ila sikupata Majibu ila baada ya kuanza kutumia asali na matunda mabadiliko yamekuwa ya harakA kuliko kawaida
 
Mbali na vyakula alivyovitaja mtoa mada pia unywaji wa maji lita moja kila siku hurahisisha mzunguko wa damu kuwa mzuri.
Kweli maji ni muhimu as catalyst nimesahau kuchomokea hili na moja ya eneo nahitaji kujiweka sawa ni unywaji wa maji...asante kwa kunikumbushA
 
Mkuu mpk kufika hapa sina swali maana yote uliyoyataja hapo yameelezwa katika vitabu vya sunnah ya Nabii muhamad (s.a.w) sema tupo mbali n mafundisho ndo maana tnalegalega
Basi mtume aliona mbali naweza kusema ni mtu wa ufunuo
 
Pamoja na yote hivyo bado unapiga lakini uko salama
Punyeto nimeacha kwa sababu niña ujasiri wa kutongoza demu yoyote na kuwa naye. Sabbu kubwa ya punyeto ni kukosa madem mkuu. Mwanaume unatakiwa kuwa na wanawake zaidi ya Watano hii ni kwa wale hawajaoa au kama una mmoja uwe unaishi naye.
 
Mimi ndo nachoka kukaa kifuani hadi namisi kipindi napga kimoko cha fasta chali.sasa nakomaa mijasho hiyo na bado ninauwezo wa kuendeleA ..nilikuwa napga kimja siku hizi hadi vitatu npga na bado niko fit kuendelea
Tusaidiane mkuu nami niwakimoja APA nilipo Nina asali ya nyuki wadogo ndani.
Umeaoa?
Mkuu una umri gan?
 
Back
Top Bottom