Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Shuhuda za namna watu walivyopona tatizo la upungufu wa nguvu za kiume

Ila wengine jinsi vyuma vilivyokaza na magonjwa ya zinaa lukuki twaona hili siyo lazima kwetu, kila la heri na nguvu na nguvu zako za kiume.
 
Nguvu za kiume kwa waliooa ni tatizo sababu ya mazoea na mke lakini akienda kwenye game za mchangani anaweza kupiga hata 5
Yaani mwanamke wako a suck ur dick ushindwe kusimamisha kisa mazoea be careful mkuu...usitafute sababu za madokta wa kibongo ndo yale yale ya punyeto inaharibu nguvu zako while pinyeto its like sex mtu akiamua kuifanya effectively(sipromote punyeto na sio member kwa sasa) lengo ni kusema sababu kubwa ya tatizo na dawa yake....watu wengi mishipa yao ya damu imebana....kitu ambach0 kinahitaji kutibiwa ila mkienda hosp mtaambiwa ni msongo/stress
 
We hujanielewa,hata wewe mwanzo ulianza kwa kuamini kuwa una tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume na ukifanya tiba uliyotumia utapona,ugonjwa na tiba yake uko kwenye akili ya mtu husika,tiba imekua na matokeo makubwa baada ya wewe kuamini sasa nikitumia hivi vitu ntapona.Hongera mkuu kwa kutatua tatizo
Kuamini ni hatua moja ila unachokula ndio kinabadili hali yako natural maana mwanzo niliamua kula bila kuamini maana sikuwa na matumaini yoyote ila nilipoona matokeo ndo nikaanza kufanya ndo mlo wangu daily
 
Iyo asali kiasi gani ?.wahanga tuko wengi
Siwezi kusema specifically kiasi gani ila chupa moja ya lita moja nakaa nayo wiki hadi wiki mbili mimi huwa nakunywa kama pafu moja kila asubuhi mchana na jioni
 
Back
Top Bottom