Underceteris
Member
- Sep 29, 2018
- 81
- 147
Na moja ya sababu ya kuandika huu ujumbe ni kuwa kwa kipindi chote nilitafuta ufumbuzi wa hospital ila sikupata Majibu ila baada ya kuanza kutumia asali na matunda mabadiliko yamekuwa ya harakA kuliko kawaidaYeaah nimeona ujumbe wako mzuri sana" Awali nilipsoma heading nilidhani kuwa umekuja kujitangaza kibiashara ili upate wakuwapiga". but baada ya kusoma article yote",.. nimejikuta na suuzika nafsi" ... by the way tunashukuru tumepata cha kujifunza",..
Kweli maji ni muhimu as catalyst nimesahau kuchomokea hili na moja ya eneo nahitaji kujiweka sawa ni unywaji wa maji...asante kwa kunikumbushAMbali na vyakula alivyovitaja mtoa mada pia unywaji wa maji lita moja kila siku hurahisisha mzunguko wa damu kuwa mzuri.
Asante pia kumbuka mlo huo sio kwa wagonjwa tu hadi unayejionA fit ni mzuri kwa afya yakohongera
Punyeto nimeacha lakini sioni uhusiano kati ya punyeto na kuishiwa nguvu za kiume..labda madaktari watuleteeKwa hiyo punyeto unapiga na bado kwa mwanamke uko vizuri
Naamini hakuna mwanaume hajjapga punyetoKwa hiyo punyeto unapiga na bado kwa mwanamke uko vizuri
Sio kweliNaamini hakuna mwanaume hajjapga punyeto
Basi mtume aliona mbali naweza kusema ni mtu wa ufunuoMkuu mpk kufika hapa sina swali maana yote uliyoyataja hapo yameelezwa katika vitabu vya sunnah ya Nabii muhamad (s.a.w) sema tupo mbali n mafundisho ndo maana tnalegalega
Haya mkuu...mi sitaki ligiSio kweli
Pamoja na yote hivyo bado unapiga lakini uko salamaHaya mkuu...mi sitaki ligi
big up mkuu ngoja nijaribu na mimi japo hali ya maisha ngumu kupata vyote
Kwa kweli mtu anayekula vitunguu swaumu akae mbali na mimi maana naweza mzaba ngumi ya mdomo akadondoka huko.
Punyeto nimeacha kwa sababu niña ujasiri wa kutongoza demu yoyote na kuwa naye. Sabbu kubwa ya punyeto ni kukosa madem mkuu. Mwanaume unatakiwa kuwa na wanawake zaidi ya Watano hii ni kwa wale hawajaoa au kama una mmoja uwe unaishi naye.Pamoja na yote hivyo bado unapiga lakini uko salama
Hii sio lazima uwe mgonjwa unaweza kutumia kwa afya yako tuduuhh!! mkuu jiwe gizani limekupata? pole sana.
Haya mkuu ila muhimu kuwa n.a. afya njema mtu ni afyaMimi nikinunua gari ndo nguvu za kiume zitanirejea,focus yangu ndo iliko. Mimi huwa siwaz kumrizsha mwanamke,huwa najilizisha mwnyw
Tusaidiane mkuu nami niwakimoja APA nilipo Nina asali ya nyuki wadogo ndani.Mimi ndo nachoka kukaa kifuani hadi namisi kipindi napga kimoko cha fasta chali.sasa nakomaa mijasho hiyo na bado ninauwezo wa kuendeleA ..nilikuwa napga kimja siku hizi hadi vitatu npga na bado niko fit kuendelea
Vina harufu kali ndo maana inashahuriwa kuliwa wakati wa kulalaHata mimi nakereka sana na hiyo harufu yao.
Nimekuwa fiti kwelikweli hadi najiuliza nilichelewa wapi kujua siri hizi ambazo watu wanahangaika na madawa ya ajabu ajabu
Mkuu asali unachanganyia na kitu gani..Hii sio lazima uwe mgonjwa unaweza kutumia kwa afya yako tu